Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Tulipo wapiga nane tulienjoy sana tu...... A Match is all about strategies, yes nakubali Mourinho anaiharibu man utd na kuifanya sio timu ya kutisha tena when it comes to winning.
Lakini hapo hapo Mourinho is trying to send a message, kuwa sio ball possessions that gets you 3 points, ni strategies tu. Wewe tizama Arsenal inavopiga kabumbu, soka la entertainment kabisa, lakini miaka 10 amekuwa anapigania nafasi ya kuingia uefa tu na sio ubingwa, kwa sababu hana startegies kabisa, anacheza common footbal wa passing and pressing tu. but not finding a weak spot on the opponent.
Mfano, vita ya dunia, Japan alipokwenda kushambulia pearl harbor alivuruga sana, ametumia ndege nyingi, ammunitions kibao, lakini baada ya hapo USA alitumia ndege zake 2 kila moja ikiangusha nuclear bomb 1, ambayo imetosha kuuharibu mji mzima..... hichi ndicho kilichotokea kwenye ile game, najua mashabiki wa Arsenal mnapenda kujipa moyo, kujisifia, lakini ni kama mmarekani na mjapani, shuti zenu 14 goli 1, man utd shuti 4 goli tatu..... kwaio mmeumizwa tu
😀