Ni ugaidi Jeshi kupiga Wananchi wasio na hatia kisa wanaonesha hasira za mwenzao/wenzao kudhuriwa na mtu/kikundi fulani

Ni ugaidi Jeshi kupiga Wananchi wasio na hatia kisa wanaonesha hasira za mwenzao/wenzao kudhuriwa na mtu/kikundi fulani

Jeshi hawana nidhamu wako kama
Yale makundi ya mitaani tu,hawana tofauti kabisa

Ova
 
Jeshi hawana nidhamu wako kama
Yale makundi ya mitaani tu,hawana tofauti kabisa

Ova

Mafunzo ya uvumilivu na ustahimilivu wa kimwili na kihisia ndio kazi yake hiyo.
Wewe unatukanwa kidogo unarusha ngumi. Hapo kuna mtu hapo
 
1. Je! Hi story inavyotanda mnauhakika nayo, mmefanya uchunguzi?

2. Wewe robert tukio lililotokea inawezekana hiyo ni ambush kupata wahusika. Maana kawe ni eneo la jeshi. Na ni haki kulinda eneo maana linatumika na raia. Kupotezea tu, kunaweza leta maafa kwa jamii inayozunguka hapo, siku za usoni.
Ambush is a must. Haswa kwenye mauaji ya kushtukiza kama hayo tena Kwa Mkuu wa jeshi wa nafasi ya huyo bwana jeshini.

Zaidi bado naona kama blunders tu, maana hakuna real story mbele yangu bado
Acha ujinga

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom