Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
ImefutwaMbona hakuna video?
NimepostPascal Ndege achana na video, hebu tuwekee link (URL)
Duuuuh Minyoo kibao aiseee ,ilikuwa inashindwa kutoka kwa njia ya "Big Haja"?Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
Unaweza share nasi mengi zaidi kuhusu huyo mnyoo mkuu?Sijaona video ila najua atakua bwana mkubwa Ascaris lumbricoides
Analeta Ascariasis
Sijui ugonjwa ganiDuuuuh Minyoo kibao aiseee ,ilikuwa inashindwa kutoka kwa njia ya "Big Haja"?
Sijaona video ila najua atakua bwana mkubwa Ascaris lumbricoides
Analeta Ascariasis
Tuwekee picha.
Ipo haijafutwaImefutwa
Mbona hakuna video?
Duuuh hadi nimesisimka..hivi minyoo haidhuru? Mbona mingi hivo? Anyway wakati nina miaka 6 au 7 nilishawahi kunya mnyoo mzima kabisa.mkubwa mrefuu
Minyoo mikubwa hivyo!! , bila shaka huyo alikuwa hashibi
Siangalii hii KITU ntatapika MIMIDuuuuh Minyoo kibao aiseee ,ilikuwa inashindwa kutoka kwa njia ya "Big Haja"?
Haujatapika ?Minyoo mikubwa hivyo!! , bila shaka huyo alikuwa hashibi