Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Mtu au mnyama ? Sijaangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu au mnyama ? Sijaangalia
Mimi kinyaa huwa sina kabisa.Haujatapika ?
🤮🤮🤮Mimi kinyaa huwa sina kabisa.
Kinyaa ndio chanzo cha kutapika.
Kwahiyo siwezi kutapika 😁
Jf bhna kwahio hao ni niniduu hatari mbona minyoo mikubwa hivyo ascaris tunakuwa tudogo tudogo
Nimepanga niwe naandika mada za maradhi mbalimbali humuUnaweza share nasi mengi zaidi kuhusu huyo mnyoo mkuu?
DuhuMinyoo mikubwa hivyo!! , bila shaka huyo alikuwa hashibi
Mtu au mnyama ? Sijaangalia
PoleSiangalii hii KITU ntatapika MIMI
we si unajua taja life circle ya ascaris?Jf bhna kwahio hao ni nini
Kwanini kama haujui kitu usikae kimya?