Akisha pima kila kitu na kugundua hamna ugonjwa awatembelee watu wa maombezi inawezekana kabisa ikawa ni mapepo au nguvu za giza,lakini maliza vipimo vya Hospitali kwanza.Pole sana mpendwa, pima KILA KITU
Tenga muda ikiezekana tafuta mahali pa faragha kisha sema na Mungu(sali) amini kuwa Mungu anaweza yoote#Tutashinda#Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo,
Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.
Inaweza kua tatizo gani hili?
Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki,
Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,
Ila najisikia vibaya sana.
nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka,
Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
Hatua ya kwanza ni kumwomba MUNGU,, usimuweke MUNGU kuwa wapiliAkisha pima kila kitu na kugundua hamna ugonjwa awatembelee watu wa maombezi inawezekana kabisa ikawa ni mapepo au nguvu za giza,lakini maliza vipimo vya Hospitali kwanza.
Hakika ushauri mzuri sana.NDUGU YANGU POLE SANA LAKINI YUPO ANAYEWE KUKUPONYA SASA..
NI YESU KRISTO PEKEE NDIYE AWEZAYE KUKUPONYA SASA,
CHUKUA HATUA YA KWENDA KUOMBEWA KAMA BADO HUNA YESU NA KAMA UNA YESU TENGA MUDA WA KUOMBA ATAKUPONYA
Kunywa maji mengi halafu toka nje ya Dar walau kwa siku 5 tu..kakae sehemu za bush mbali na kelele na mishemishe za suniaHabarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo,
Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.
Inaweza kua tatizo gani hili?
Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki,
Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,
Ila najisikia vibaya sana.
nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka,
Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
kapime sukariHabarini wana JF,