Ni ugonjwa gani huu unitesao?

Ni ugonjwa gani huu unitesao?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.

Mwili wangu unachoka kuliko maelezo, Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.

Inaweza kua tatizo gani hili? Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki, Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,

Ila najisikia vibaya sana. nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka, Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
 
NDUGU YANGU POLE SANA LAKINI YUPO ANAYEWE KUKUPONYA SASA..

NI YESU KRISTO PEKEE NDIYE AWEZAYE KUKUPONYA SASA,

CHUKUA HATUA YA KWENDA KUOMBEWA KAMA BADO HUNA YESU NA KAMA UNA YESU TENGA MUDA WA KUOMBA ATAKUPONYA
 
Pole sana mpendwa, pima KILA KITU
Akisha pima kila kitu na kugundua hamna ugonjwa awatembelee watu wa maombezi inawezekana kabisa ikawa ni mapepo au nguvu za giza,lakini maliza vipimo vya Hospitali kwanza.
 
Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo,
Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.
Inaweza kua tatizo gani hili?
Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki,
Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,
Ila najisikia vibaya sana.
nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka,
Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
Tenga muda ikiezekana tafuta mahali pa faragha kisha sema na Mungu(sali) amini kuwa Mungu anaweza yoote#Tutashinda#
 
NDUGU YANGU POLE SANA LAKINI YUPO ANAYEWE KUKUPONYA SASA..

NI YESU KRISTO PEKEE NDIYE AWEZAYE KUKUPONYA SASA,

CHUKUA HATUA YA KWENDA KUOMBEWA KAMA BADO HUNA YESU NA KAMA UNA YESU TENGA MUDA WA KUOMBA ATAKUPONYA
Hakika ushauri mzuri sana.
 
Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo,
Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.
Inaweza kua tatizo gani hili?
Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki,
Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,
Ila najisikia vibaya sana.
nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka,
Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
Kunywa maji mengi halafu toka nje ya Dar walau kwa siku 5 tu..kakae sehemu za bush mbali na kelele na mishemishe za sunia
 
Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo,
Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.
Inaweza kua tatizo gani hili?
Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki,
Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,
Ila najisikia vibaya sana.
nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka,
Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
kapime sukari
 
Kama vipi fanya sana mazoezi ya pumzi then uone nn kinatokea. Huna mazoezi ya kutosha bila shaka
 
Fanya kipimo cha stress kinaitwa "Stress test". Kuna dhana kwamba akili hutumia energy kubwa sana na inaweza kukufanya ukawa exhausted bila kufanya kazi yoyote physical.
 
angalia kiwango chako cha damu kipoje?pili kuwa unakunywa maji mengi yakutosha 3 pumzikaaaaa kwa mudaaa mrefu kidogoooo
 
Fanya kipimo cha stress kinaitwa "Stress test". Kuna dhana kwamba akili hutumia energy kubwa sana na inaweza kukufanya ukawa exhausted bila kufanya kazi yoyote physical.
Ok mdau ntaifanyia kazi hii.
 
angalia kiwango chako cha damu kipoje?pili kuwa unakunywa maji mengi yakutosha 3 pumzikaaaaa kwa mudaaa mrefu kidogoooo
Nilishafanya pia full blood picture inaonesha nomo ndugu
 
unalo tatizo hili hapo
Fatigue
(also called exhaustion, tiredness, languidness, languor, lassitude, and listlessness) is a subjective feeling of tiredness which is distinct from weakness, and has a gradual onset. Unlike weakness, fatigue can be alleviated by periods of rest. Fatigue can have physical or mental causes.
 
Back
Top Bottom