Ni ugonjwa gani huu?

duh magonjwa yote haya yako [emoji15] [emoji15]

Hapo bila shaka unaonekana ;

1)haunywi maji ya kutosha

2)hauli matunda na hauzingatii mlo kamili

3)haufanyi mazoezi

4)haupati usingizi wa kutosha
 
pole sana jamani daah[emoji275] pole sana

muone dactari kwa uchunguzi zaidi

Mungu ni mkubwa utapona[emoji120]
 
duh magonjwa yote haya yako [emoji15] [emoji15]

Hapo bila shaka unaonekana ;

1)haunywi maji ya kutosha

2)hauli matunda na hauzingatii mlo kamili

3)haufanyi mazoezi

4)haupati usingizi wa kutosha
Mkuu labda kutokula matunda na mlo kamili lakini Mazoez nafanya sana coz mm mkulima ko kulima na kutembea mi nafikiri ni zoez tosha, Asanteh kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…