Ni ugonjwa gani huu?

Ni ugonjwa gani huu?

Dalili, nyayo za miguu zinauma, magoti yanauma, vidole kuhisi umefunga damu haipiti vinadunda, mishipa kuuma, kichwa kuuma, uvumbe kichwan kwenye kisogo, maumivu ya kifua, Homa, muwasho usononi, maumivu ya tezi na kuvimba, uchovu mwingi, hasira, moyo kupiga kwa nguvu, kikohozi kikavu, usingizi mwingi, JAMAN NISAIDIENI NI UGONJWA GANI?!
duh magonjwa yote haya yako [emoji15] [emoji15]

Hapo bila shaka unaonekana ;

1)haunywi maji ya kutosha

2)hauli matunda na hauzingatii mlo kamili

3)haufanyi mazoezi

4)haupati usingizi wa kutosha
 
pole sana jamani daah[emoji275] pole sana

muone dactari kwa uchunguzi zaidi

Mungu ni mkubwa utapona[emoji120]
 
duh magonjwa yote haya yako [emoji15] [emoji15]

Hapo bila shaka unaonekana ;

1)haunywi maji ya kutosha

2)hauli matunda na hauzingatii mlo kamili

3)haufanyi mazoezi

4)haupati usingizi wa kutosha
Mkuu labda kutokula matunda na mlo kamili lakini Mazoez nafanya sana coz mm mkulima ko kulima na kutembea mi nafikiri ni zoez tosha, Asanteh kwa ushauri
 
Back
Top Bottom