Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Nimejikita napwasa kukupa tano kwa lazima, ni kweli kabisa usafi inapatikana katika maji. Wakenya wajuaji sana ila kaa hili wanapotea.
 
Naomba ufahamu mambo ya kujisafisha kwa maji japo ni jambo zuri lakini ni jambo la kiislamu. Waislamu ndio huwa wanatumia maji chooni. Watu wengine wote duniani huwa wanatumia tissue.

Kuna aina ya kifaa fulani ambacho unaweza kununua na kukifunga chooni ambacho unaweza kukitumia kuosha mqundu baada ya kunya, yaani hapo vidole vyako havitumiki, una-spray maji kwenye mqundu, ila sasa vitu kama hivi havipatikani kwa mamilioni ya walalahoi wa Kitanzania, wengi hubeba maji kiasi cha kikombe na kwenda nayo chooni, ni desturi waliyofundishwa na waarabu wakati uislamu unaletwa pwani.
Sasa maji kiasi cha kikombe ni kidogo sana, jamaa anajitumbukiza kidole kwenye mqundu kucha zinaingiwa na mavi yaani Watanzania ni wachafu sana ukiona wanatembea barabarani, kucha zao na mikono huwa chafu sana kutokana na hayo mavi.
 
Naturally bila ubishi wanaume wa Kenya in wachafu sana na hata midomo yao kuswaki in tabu wakati mwingine.. Sio umaskini bali in behaviour.. Kwa wale walioenda jamii masikini za Kenya watakuwa mashuhuda kuwa hata open defacation ni normal kwao.. Mfano kibera, suburbs za Kitale, Bungoma, kimilili, Wajir, Old kijabe, pokot, Munami na maeneo ya kapsabet.. Nimefika mwenyewe nikashuhudia.. Issue in kasumba tu sio umaskini..
 
Aga hapa bongo kuna hotel hazina bomba la maji ya kujiswafi..menda New Africa hotel, Hyatt, serena then uje utupe mrejesho.
 
You are broke. You go to cheap hotels. The day you make some money and afford a good hotel, you'll never have these complains.

Talking about public toilets, last time I was in Dar es Salaam, there was no public toilet to begin with.
 
Mi nilizoea once I'm in nairobi ni mwendo wa tissue tu
Nafikiri wamecopy from whites
Ulitaka tucopy kwa Waarabu kama nyie? Mwanzo jua Dar es Salaam ni mji wa Waarabu. Hata jina ni la Kiarabu - ndio maana mnacopy tabia za kiarabu mkiasi za kiafrika. Kabla ya mzungu Waafrika walitumia majani kujipanguza. Mzungu hakubadili chochote - tissue ni a better version of majani. Nyie ndio mnaoiga Waarabu na kuwaabudu.
 

Sasa unamshughulikiaje Dada yako, Kuwa na Heshima basi
 
Hio ni kweli kabisa. Halafu baada ya kushika kikombe na kidole kilichopakwa mavi, wanaenda kunywa chai na hicho hicho kikombe kilichopakwa mavi. Halafu wanajiona wao ni wasafi, na wengine ni wachafu.
 
Aga hapa bongo kuna hotel hazina bomba la maji ya kujiswafi..menda New Africa hotel, Hyatt, serena then uje utupe mrejesho.
Anadhani wazungu pia hujipiga maji mqunduni?
 

Wewe ni Mpumbavu
 
Hawa ni wachafu kifupi whites wa wapi hao , hotel ulaya zina bomba la kujisafisha , plus tissue hata kwenye nyumba zao...UNAKAA NA DEMU KWENYE MATATU ANATOA HARUFU KALI BALAA
Huyo demu mmoja yupo hapa atacoment sinmuda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…