Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Agrrr!!! Mpaka nimesisimka.
Mimi ni mkristo kindakindaki kanisani kwetu kuna maji chooni ya kujisafisha baada ya kazi. Kijijini kwetu vyoo vyote vina madumu ya maji ya kujisafisha.

Hii issue ni usafi na siyo dini. Yaani nikikutana na wewe sikushiki mkono aisee.
Kwa mfano mkono umegusa mav1 utafuta na tissue!!!?
Nimejikita napwasa kukupa tano kwa lazima, ni kweli kabisa usafi inapatikana katika maji. Wakenya wajuaji sana ila kaa hili wanapotea.
 
Naomba ufahamu mambo ya kujisafisha kwa maji japo ni jambo zuri lakini ni jambo la kiislamu. Waislamu ndio huwa wanatumia maji chooni. Watu wengine wote duniani huwa wanatumia tissue.

Kuna aina ya kifaa fulani ambacho unaweza kununua na kukifunga chooni ambacho unaweza kukitumia kuosha mqundu baada ya kunya, yaani hapo vidole vyako havitumiki, una-spray maji kwenye mqundu, ila sasa vitu kama hivi havipatikani kwa mamilioni ya walalahoi wa Kitanzania, wengi hubeba maji kiasi cha kikombe na kwenda nayo chooni, ni desturi waliyofundishwa na waarabu wakati uislamu unaletwa pwani.
Sasa maji kiasi cha kikombe ni kidogo sana, jamaa anajitumbukiza kidole kwenye mqundu kucha zinaingiwa na mavi yaani Watanzania ni wachafu sana ukiona wanatembea barabarani, kucha zao na mikono huwa chafu sana kutokana na hayo mavi.
 
Naturally bila ubishi wanaume wa Kenya in wachafu sana na hata midomo yao kuswaki in tabu wakati mwingine.. Sio umaskini bali in behaviour.. Kwa wale walioenda jamii masikini za Kenya watakuwa mashuhuda kuwa hata open defacation ni normal kwao.. Mfano kibera, suburbs za Kitale, Bungoma, kimilili, Wajir, Old kijabe, pokot, Munami na maeneo ya kapsabet.. Nimefika mwenyewe nikashuhudia.. Issue in kasumba tu sio umaskini..
 
Ukiwa mgeni katika Nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA ,ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki ... HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU , yaani kifupi wakenya ni wachafu sana , public toilet unaenda unalipa 10 bob wanakupa tissue paper chooni hakuna maji wala kopo la kujisafishia !tatizo ni nini nyie watu
Aga hapa bongo kuna hotel hazina bomba la maji ya kujiswafi..menda New Africa hotel, Hyatt, serena then uje utupe mrejesho.
 
Ukiwa mgeni katika Nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA ,ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki ... HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU , yaani kifupi wakenya ni wachafu sana , public toilet unaenda unalipa 10 bob wanakupa tissue paper chooni hakuna maji wala kopo la kujisafishia !tatizo ni nini nyie watu
You are broke. You go to cheap hotels. The day you make some money and afford a good hotel, you'll never have these complains.

Talking about public toilets, last time I was in Dar es Salaam, there was no public toilet to begin with.
 
Mi nilizoea once I'm in nairobi ni mwendo wa tissue tu
Nafikiri wamecopy from whites
Ulitaka tucopy kwa Waarabu kama nyie? Mwanzo jua Dar es Salaam ni mji wa Waarabu. Hata jina ni la Kiarabu - ndio maana mnacopy tabia za kiarabu mkiasi za kiafrika. Kabla ya mzungu Waafrika walitumia majani kujipanguza. Mzungu hakubadili chochote - tissue ni a better version of majani. Nyie ndio mnaoiga Waarabu na kuwaabudu.
 
Wewe ukitumia hayo maji si yanabaki hapo na cheche za meffi?pia vidoleni? Sasa bacteria zina thrive vizuri in such an environment na ndio maana mnajikunakuna then ina affect huko mbele hadi mnashindwa kuwashughulikia Dada zenu vizuri. Wanaishia kuweka tumbaku

Sasa unamshughulikiaje Dada yako, Kuwa na Heshima basi
 
Kuna aina ya kifaa fulani ambacho unaweza kununua na kukifunga chooni ambacho unaweza kukitumia kuosha mqundu baada ya kunya, yaani hapo vidole vyako havitumiki, una-spray maji kwenye mqundu, ila sasa vitu kama hivi havipatikani kwa mamilioni ya walalahoi wa Kitanzania, wengi hubeba maji kiasi cha kikombe na kwenda nayo chooni, ni desturi waliyofundishwa na waarabu wakati uislamu unaletwa pwani.
Sasa maji kiasi cha kikombe ni kidogo sana, jamaa anajitumbukiza kidole kwenye mqundu kucha zinaingiwa na mavi yaani Watanzania ni wachafu sana ukiona wanatembea barabarani, kucha zao na mikono huwa chafu sana kutokana na hayo mavi.
Hio ni kweli kabisa. Halafu baada ya kushika kikombe na kidole kilichopakwa mavi, wanaenda kunywa chai na hicho hicho kikombe kilichopakwa mavi. Halafu wanajiona wao ni wasafi, na wengine ni wachafu.
 
Tatizo wewe mgeni ulikuja na mihemko hukujua huku kuna ustaarabu wake, ukajidanganya wewe ndiye mwenye dhamana ya kuwatusi watu, kwamba wengine hatujui jinsi ya kutukana, kwa taarifa yako mimi hapa nimewahi kula ban kwa ajili ya matusi makubwa hata zaidi ya wewe ambaye bado unajifunza.
Pambanua na kupangua hoja za wadau, wote tunakutana huku kama wana Afrika mashariki, japo utaona tukishindana humu udhani tuna chuki, lakini nje kwenye kazi zetu tuashirikiana sana hatuna chuki. Hawa Watanzania unaowaona humu wengi wapo Kenya wanapiga mishe, vile vile kuna Wakenya humu huja huko Tanzania.
Tunachofanya ni kusogeza muda kwa ushindani wa kindugu lakini sote tunahitajiana kwa namna moja au nyingine.

Wewe ni Mpumbavu
 
Back
Top Bottom