Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

mnumbwangu

Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
27
Reaction score
26
Ukiwa mgeni katika nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA, ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki.

HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU, yaani kifupi wakenya ni wachafu sana, public toilet unaenda unalipa 10 bob wanakupa tissue paper chooni hakuna maji wala kopo la kujisafishia

Tatizo ni nini nyie watu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiwe gizani
 
Mi nilizoea once I'm in nairobi ni mwendo wa tissue tu. Nafikiri wamecopy from whites
 
So mnataka maji mjioshe na left hand? aadhali tissue, more hygienic.
 
Mila za kiislamu pelekeni Somalia.
Usafi hauna dini bwana kaaa utaendaje kunya bila Maji? So Kenya hata wadada wanaenda kojoa hawajitawazi wanajipaka mikojo na tissue duu, wenye madem wa kikenya acheni kwenda uvinza mtakuja pata magonjwa ya ajabu midomo hiyo majitu hata hayajioshi kwa Maji daaaamnnn so nastyyy
 
Mila za kiislamu pelekeni Somalia.
Agrrr!!! Mpaka nimesisimka.

Mimi ni mkristo kindakindaki kanisani kwetu kuna maji chooni ya kujisafisha baada ya kazi. Kijijini kwetu vyoo vyote vina madumu ya maji ya kujisafisha.

Hii issue ni usafi na siyo dini. Yaani nikikutana na wewe sikushiki mkono aisee.

Kwa mfano mkono umegusa mav1 utafuta na tissue?
 
I bet the meaning of Ustaarabu umebadilika. Danganyikans like you are some of the most Primitive souls alive. Uswahili mwingi tu umekujaa,s i lingine. Otherwise umejaribu in your imaginative composition.
 
Back
Top Bottom