Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Tatizo wewe mgeni ulikuja na mihemko hukujua huku kuna ustaarabu wake, ukajidanganya wewe ndiye mwenye dhamana ya kuwatusi watu, kwamba wengine hatujui jinsi ya kutukana, kwa taarifa yako mimi hapa nimewahi kula ban kwa ajili ya matusi makubwa hata zaidi ya wewe ambaye bado unajifunza.
Pambanua na kupangua hoja za wadau, wote tunakutana huku kama wana Afrika mashariki, japo utaona tukishindana humu udhani tuna chuki, lakini nje kwenye kazi zetu tuashirikiana sana hatuna chuki. Hawa Watanzania unaowaona humu wengi wapo Kenya wanapiga mishe, vile vile kuna Wakenya humu huja huko Tanzania.
Tunachofanya ni kusogeza muda kwa ushindani wa kindugu lakini sote tunahitajiana kwa namna moja au nyingine.
Yaan wee jamaa kumbe akili unayo nzuri tuu ...hahahaha safi sana nilijuaga kuwa huwa mnachukulia mambo ya humu personal kumbe lengo kuu unalijuaaa safi sana
 
Khaaa ama kweli mganga hajigangi,kwa hiyo mmeiga lugha ya mkoloni hadi utamaduni wa uchafu, kweli kenya nimeamini is a white booty leakers state,mmmh.

Unachagua tu kati ya mzungu na mwarabu nani wa kuiga maana Afrika hatuna chetu, aidha uige mzungu utumie tissue paper ujifute mavi kisha ukienda kuoga rasmi uhakikishe umepaosha vizuri, au uige mwarabu uingie chooni na kopo la maji kiasi cha kikombe ujitumbukize vidole na kujipaka mavi kwenye kucha.
 
Nyie hamjawahi kujiuliza tu mbona kule kwao kuna matangazo mengi ya toilet paper aka tissue [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tahadhari usafi ukiwa kenya. Juzi tuu hoteli ya kifahari inayo milikiwa na naibu wa Rais ilifungwa kisa kipindupindu..
Mwezi uliopita hospitali ya kifahari alipo lazwa tundu lissu (Nairobi Hospital) ilipatwa na janga la kipindupindu, wafanyakazi 30 wakalazwa kisa kuhara mfulilizo..
Wasio jua chanzo cha kipindipindu wacha ni waelemishe:
Kipindupindu huletwa na kula mlo ulichanganywa na vinyesi na mikojo.
Unapo enda kula bata nairobi, ujue hiyo youghut/Juisi/supu unayoibugia ipo na mkojo kiasi fulani.
Pilau unayoila iloyo na vipande vipande vya nyama ndani kuna vipande vya vinyesi pia..
Hata uende hoteli ya serena, hilton au sankara hauwezi kwepa hii dosi ya vinyesi..
Karibu kenya
 
Ukiwa mgeni katika Nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA ,ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki ... HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU , yaani kifupi wakenya ni wachafu sana , public toilet unaenda unalipa 10 bob wanakupa tissue paper chooni hakuna maji wala kopo la kujisafishia !tatizo ni nini nyie watu
hahaaaaaaa!!!ndugu kwn ulifikia mji gani....km ni nairobi au upcountry basi siezi bisha...hao jamaa wa hko ni mwendo wa tissue paper tu....bwahahaaa
 
Ukiwa mgeni katika Nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA ,ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki ... HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU , yaani kifupi wakenya ni wachafu sana , public toilet unaenda unalipa 10 bob wanakupa tissue paper chooni hakuna maji wala kopo la kujisafishia !tatizo ni nini nyie watu
hahahah wana undugu na wasukuma bilashaka
 
Agrrr!!! Mpaka nimesisimka.
Mimi ni mkristo kindakindaki kanisani kwetu kuna maji chooni ya kujisafisha baada ya kazi. Kijijini kwetu vyoo vyote vina madumu ya maji ya kujisafisha.

Hii issue ni usafi na siyo dini. Yaani nikikutana na wewe sikushiki mkono aisee.
Kwa mfano mkono umegusa mav1 utafuta na tissue!!!?

Sasa utakuwa umeguza mavi ukifanya nini? Unaongea kuhusu kuosha aina ipi? Kuosha Mkono au Mkundu? Ikiwa unaosha Mkundu, kwanini niushike huo mkono wako wenye chembechembe za mavi? Maji inayostahili ni maji ya kuosha mkono. Ikiwa utaambiwa kuwa Nairobi hamna maji ya kuosha mkono kisha ukubali, utakuwa wewe ni mpumbavu wa kupindukia.
 
yani hapa naona watz mnajisifia kisa mnajua kuosha mipododo kwa kutumia mikono yenyu ya kushoto pindi baada ya kunya..nao wakenya mnajipiga vifua kisa mnajua kutumia mikaratasi ya shashi na majani ya miti..either way nyote mpo sawa..kibaya ni kutopangusa kabisa baada ya shugli
 
Ndio mara ya kwanza leo kusikia kwenda chooni na maji ni utamaduni wa muarabu

PPumbavu kabisa sisi kwenye kabila letu ni mila na desturi kwenda chooni na maji na kuna chombo maalum cha kubebea maji kwaajili ya kujisafisha na kina jina na kilugha kwa mantiki kwamba huu ni utamaduni wa wazee wetu kabla ya kukutana na outsiders

Nyinyi kama kujisafisha sio utamaduni wenu msisingizie mambo ya waarabu na wazungu hapa acheni ukapurwa.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sasa utakuwa umeguza mavi ukifanya nini? Unaongea kuhusu kuosha aina ipi? Kuosha Mkono au Mkundu? Ikiwa unaosha Mkundu, kwanini niushike huo mkono wako wenye chembechembe za mavi? Maji inayostahili ni maji ya kuosha mkono. Ikiwa utaambiwa kuwa Nairobi hamna maji ya kuosha mkono kisha ukubali, utakuwa wewe ni mpumbavu wa kupindukia.

Kwaiyo na wewe huwa unatembea na ngando kwenye mcoondu[emoji51][emoji51][emoji51]
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
images.jpeg
 
Tissue paper ni luxury hapa Tanzania. Inatumika na mabinti wakati wa hedhi. Na si wengi wana afford ,wengine wanararua vileso vyao na kutumia matambara.
#deadstate
 
Tissue paper ni luxury hapa Tanzania. Inatumika na mabinti wakati wa hedhi. Na si wengi wana afford ,wengine wanararua vileso vyao na kutumia matambara.
#deadstate

Nafurahi kwa ajili yako,
Sababu wewe ni msafi, sio kama kina Depay na Mwaswast wao hutembea na mgando mata koni mwao, disgusting
 
Ukiwa mgeni katika Nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA ,ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki ... HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU , yaani kifupi wakenya ni wachafu sana , public toilet unaenda unalipa 10 bob wanakupa tissue paper chooni hakuna maji wala kopo la kujisafishia !tatizo ni nini nyie watu
Hili suala nimewahi kuliuliza. Hata Arusha iko hivyo. Wanasema kutumia maji ni utamaduni wa kiarabu. Utamaduni wa watu wa magharibi hautumii maji balo hizo karatasi. Sisi ni wa kuiga tu.
 
Back
Top Bottom