Ni ujenzi gani wa kisasa ambao wewe binafsi haupendelei?

Ni ujenzi gani wa kisasa ambao wewe binafsi haupendelei?

Cheki wenzetu USA walivyo wastaarabu nyumba hazina ukuta wa fence wala mageti
View attachment 2476071

Hapo mzee baba ukionekana unatembea kwa miguu ni lazima ukatoe maelezo kituo cha police ama usindikizwe hadi unapokaa wahakikishe kama ni kweli,usione cama sisi wanyiramba hatujatembea [emoji276]halafu ndio ulinganishe na Dar kweli labda Singida angalau
 
Naungana na hoja zako na mm, ila ukuta wa fensi kusema ukweli mm sipendi uwe complete blocked, napenda uwe unaingiza hewa pia nikikaa ndan nione kidogo ya nje, hivyo napenda ule wa kakipande kana square pipe juu chini na kakipande kanakofatia ukuta kidogo juu chini.

Pia tanga stone ziwekwe eneo la msingi tu, sipend kuona baadhi ya watu sehemu kubwa ya ukuta wa nyuma unajaza tanga stone tena za kufanana.
Msechu kajitahid katika ile nyumba yake kudesign.

Cha mwisho ni basi tu security ya nyumban sijui itakuaje ila sipend waya za umeme juu ya ukuta na dimbwi la kuogelea (swiming pururu)
 
Samples za nyumba zenye tanga stones zakupendeza
Screenshot_20220410-125926_WhatsApp.jpg
Screenshot_20230113-123632_WhatsApp.jpg
Screenshot_20210612-213648_WhatsApp.jpg
 
Sipendi madirisha ya aluminum yanafunguka upande kukiwa na joto utakoma
Unapenda ya nini?
Unapopinga unatoa pendekezo inafaa zaidi.
Pia niliona mtu kasema hapend madirisha makubwa sijajua kwa nn!?
Mimi midirisha kuwa kubwa ni kipao mbele, kwanza nilitaman ukuta wa seblen na baadhi ya chumba pawe full vioo sema fundi akaleta hofu na kusema yatakua boss garama za vioo [emoji3][emoji3][emoji3]

Ila napenda hiyo style
 
Nyumba kali sana, nje kumependeza maua mazuri, perving kali na hizo njia za kupita nzuri, rangi nzuri, safi kabisa. Hongera sana kwake Msechu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa anaejua mpangilio sa nyumba za mitindo ya kisasa ndio maana toka mwanzo nikasema jamaa kajitahidi.
Mkuu kuna perving vimeo? Hazivutii? Tupe mfano wa picha.

Ila pia hii style ya maua na ukoka nadhan inaokoa garama kubwa za perving
 
Back
Top Bottom