Cheki wenzetu USA walivyo wastaarabu nyumba hazina ukuta wa fence wala mageti
View attachment 2476071
Ujinga ujinga ndio upo vichwani mwa vijana wengi, mtu ameandika vitu vya maaana yeye anakuja na kejeli za kijinga.Kulikuwa na haja gani kutoa majibu ya kihuni. Punguza shobo
Hata huko nako kuna vibaka wa kufa mtu.Cheki wenzetu USA walivyo wastaarabu nyumba hazina ukuta wa fence wala mageti
View attachment 2476071
KaribuTanga stones ni mpangilio sio kurundika. Mie kwangu nimeweka na zinapendeza sana. Ngoja nikuwekee picha za mfano
Hii nyumba ya Msechu nasikia ni kali sana, wekeni picha yake tujifunzeMsechu kajitahid katika ile nyumba yake kudesign.
Kula kwa macho. Kajitahidi sanaHii nyumba ya Msechu nasikia ni kali sana, wekeni picha yake tujifunze
Hatuna budi zaidi ya ku-admire. Hongera na ndoto ziendelee.Kula kwa macho. Kajitahidi sanaView attachment 2482236View attachment 2482238View attachment 2482239
Kula kwa macho. Kajitahidi sanaView attachment 2482236View attachment 2482238View attachment 2482239
Amekimbiza wasanii woteNyumba yake nzuri sana jamani
Nyumba kali sana, nje kumependeza maua mazuri, perving kali na hizo njia za kupita nzuri, rangi nzuri, safi kabisa. Hongera sana kwake MsechuKula kwa macho. Kajitahidi sanaView attachment 2482236View attachment 2482238View attachment 2482239
Nimependa ulivyochambua kama Edo Kumwembe anavyochambua soka [emoji23] [emoji23]Nyumba kali sana, nje kumependeza maua mazuri, perving kali na hizo njia za kupita nzuri, rangi nzuri, safi kabisa. Hongera sana kwake Msechu
Nyumba kali sana, nje kumependeza maua mazuri, perving kali na hizo njia za kupita nzuri, rangi nzuri, safi kabisa. Hongera sana kwake Msechu
Unapenda ya nini?Sipendi madirisha ya aluminum yanafunguka upande kukiwa na joto utakoma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa anaejua mpangilio sa nyumba za mitindo ya kisasa ndio maana toka mwanzo nikasema jamaa kajitahidi.Nyumba kali sana, nje kumependeza maua mazuri, perving kali na hizo njia za kupita nzuri, rangi nzuri, safi kabisa. Hongera sana kwake Msechu