johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona Wafuasi wa Tundu Lisu wakilinganisha uchaguzi wa Chadema na Ule wa TLS na Kwamba Mwabukusi aliwekewa mtimanyongo na CCM Lakini akashinda vivyo hivyo Tundu Lisu atashinda Chadema
Nawakumbusha tu Wapiga Kura wa TLS ni tofauti kabisa na Hawa wa Chadema na tofauti yao ni Sawa na mbingu na Ardhi
Wapiga Kura wa TLS ni Wasomi Watupu wenye kujitambua
Wapiga Kura wa Chadema ni Watu waliojiajiri Kwenye siasa kutokana na Elimu zao kuwa za kuunga unga
Ni afadhali ya Wajumbe wa CCM ni Watu wenye maarifa kwa sababu Wana Kazi na shughuli za kuwaingizia vipato
Tunakumbushana tu 😂😂