Ni Ujinga kuamini Tundu Lisu atamshinda Mbowe Kwa sababu hata Mwabukusi alishinda uRais TLS licha ya vikwazo. Wajumbe wa Chadema Wengi ni la 7B!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeona Wafuasi wa Tundu Lisu wakilinganisha uchaguzi wa Chadema na Ule wa TLS na Kwamba Mwabukusi aliwekewa mtimanyongo na CCM Lakini akashinda vivyo hivyo Tundu Lisu atashinda Chadema

Nawakumbusha tu Wapiga Kura wa TLS ni tofauti kabisa na Hawa wa Chadema na tofauti yao ni Sawa na mbingu na Ardhi

Wapiga Kura wa TLS ni Wasomi Watupu wenye kujitambua

Wapiga Kura wa Chadema ni Watu waliojiajiri Kwenye siasa kutokana na Elimu zao kuwa za kuunga unga

Ni afadhali ya Wajumbe wa CCM ni Watu wenye maarifa kwa sababu Wana Kazi na shughuli za kuwaingizia vipato

Tunakumbushana tu 😂😂
 
Hivi ukisoma hili bandiko unajisikia je?
 
Ubaya ni kujifanya fanya mbatizaji umejifanya sasa
 
Nimeona Wafuasi wa Tundu Lisu wakilinganisha uchaguzi wa Chadema na Ule wa TLS na Kwamba Mwabukusi aliwekewa mtimanyongo na CCM Lakini akashinda vivyo hivyo Tundu Lisu atashinda Chadema

Nawakumbusha tu Wapiga Kura wa TLS ni tofauti kabisa na Hawa wa Chadema na tofauti yao ni Sawa na mbingu na Ardhi

Wapiga Kura wa TLS ni Wasomi Watupu wenye kujitambua

Wapiga Kura wa Chadema ni Watu waliojiajiri Kwenye siasa kutokana na Elimu zao kuwa za kuunga unga

Ni afadhali ya Wajumbe wa CCM ni Watu wenye maarifa kwa sababu Wana Kazi na shughuli za kuwaingizia vipato

Tunakumbushana tu 😂😂
Sasa wewe ambaye hukuamini ndiye mjinga kama yalivyo maccm wengi
 
Attachments

  • IMG-20191109-WA0000.jpg
    IMG-20191109-WA0000.jpg
    35.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom