Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Jifunze kushona vijora vya mamakimbo hautalala njaa na utaajiri wakukusaidia, vijora hushonwa kwa timu huwa havishonwi kwa mtu mmojammoja.1- Ukipika chakula kizuri na ukazingatia usafi, hautolala njaa.
2- Ukiwa fundi mzuri wa magari makubwa au madogo na ukatangiliza uaminifu, hautolala njaa.
3- Ukiwa fundi mzuri wa kuchomelea vyuma na ukiwa muaminifu, hautolala njaa.
4- Ukiwa fundi ujenzi mzuri na ukawa muaminifu, hautolala njaa.
5- Ukiwa dereva wa bajaji/bodaboda na ukawa muaminifu, hautolala njaa.
Zaidi nasisitiza vijana kuweka aibu kando na wasiwe wavivu huu mwaka 2023 wasisubiri kazi za degree zao.
Hayo ni kwauchache, naomba kuwasilisha...🙏
Na hawafanyi uaminifu kwa sababu hawafikirii kesho yao hao wanawaza pesa ya leo tu.Mafundi wengi wanakosa pesa sababu ya kukosa uaminifu
Kwa anaeanza ni ngumu, mtaji ekari moja ni 5m+Kilimo.
Kulima haswa nyanya
Kidijitali ukijua vizuri kucharaza proposals kwenye freelancing platform hulali njaa, ukipatia digital marketing, ila mostly ukiwa na gadgets kali kama simu na pc + kifurushi hulali njaa ng'o mwisho ukikomalia financial markets imeishaTupeane tips wakuu, jinsi ya kuingia 2023 kwa focus zaidi katika kutengeneza pesa kupitia ujuzi (skills) ambao hauhitaji uwe na degree wala masters.
Brother na useremala pia. Hii haikulazi njaa hata kidogo, haiitaji uwe na utaalamu sana, uwe unajua kushika nyundo, kukata kwa msumeno, kupiga msasa , hivyo tu hailali na njaa wakati wowote.1- Ukipika chakula kizuri na ukazingatia usafi, hautolala njaa.
2- Ukiwa fundi mzuri wa magari makubwa au madogo na ukatangiliza uaminifu, hautolala njaa.
3- Ukiwa fundi mzuri wa kuchomelea vyuma na ukiwa muaminifu, hautolala njaa.
4- Ukiwa fundi ujenzi mzuri na ukawa muaminifu, hautolala njaa.
5- Ukiwa dereva wa bajaji/bodaboda na ukawa muaminifu, hautolala njaa.
6- Vijana jifunzeni hata kusuka/kunyoa hamtokosa pesa ya kula.
Zaidi nasisitiza vijana kuweka aibu kando na wasiwe wavivu huu mwaka 2023 wasisubiri kazi za degree zao.
Hayo ni kwauchache, naomba kuwasilisha...[emoji120]
C,C1 + VIP cheti cha NIT inakuwa poa sanaDereva ukawa naLeseni ya Class A,D na C1 tosha sana
Bila kuathiri ibara ya 5 na weka namba yako ya Simu ya kiswaswadu, usikose na smartphone Kwa ajili ya wateja wanaopenda kutumia Whatsapp. Iwe na chaji Muda wote. Ukiamua usibebe abiria mwingine yyt uwena wateja wako tu. Inawezekana pia.1- Ukipika chakula kizuri na ukazingatia usafi, hautolala njaa.
2- Ukiwa fundi mzuri wa magari makubwa au madogo na ukatangiliza uaminifu, hautolala njaa.
3- Ukiwa fundi mzuri wa kuchomelea vyuma na ukiwa muaminifu, hautolala njaa.
4- Ukiwa fundi ujenzi mzuri na ukawa muaminifu, hautolala njaa.
5- Ukiwa dereva wa bajaji/bodaboda na ukawa muaminifu, hautolala njaa.
6- Vijana jifunzeni hata kusuka/kunyoa hamtokosa pesa ya kula.
Zaidi nasisitiza vijana kuweka aibu kando na wasiwe wavivu huu mwaka 2023 wasisubiri kazi za degree zao.
Hayo ni kwauchache, naomba kuwasilisha...🙏
Nina msubiri mjinga mmoja aliwe kichwa na Allah, mjinga huyu anajiona malumalu. Yaani nimekaa naomba Mungu ampe anachostahiliNimekukubali sana, hongera kwa kulitambua hilo naamini sasa utakuwa mwalimu mzuri kwa wengne ambao wanaamini upigaji ndo ujanja, kiufupi upigaji sio ujanja ila ni maandalizi ya kuifanya kesho yako kuwa ngumu zaidi ya leo
Kama una kipaji kwenye ndondo unatretiwa kama king. Sema anasa ni adui wa maendeleo ya Mwanaume.Mchezaji wa mpira..
Hasa mchangani(ndondo),popote pale chochote kile kikubwa pana uwanja wa mpira hulali njaa..
NB/UWE MPAMBANAJI