Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mkuu mbona unamhukumu kama wewe ni mahakama?Paul Makonda mbona yupo juu ya sheria, hulioni hilo, au una makengeza ya akili. Acha kujifanya kichaa.
Aliingia kwenye ofisi za watu kwa nguvu na kwa kutumia silaha za moto kuchukua mali za ofisi.
Hoja yako nini hasa?Paul Makonda mbona yupo juu ya sheria, hulioni hilo, au una makengeza ya akili. Acha kujifanya kichaa.
Makosa ya Jinai aliotenda yalio wazi kabisa katika Penal Code CAP 16 [PRICIPLE LEGISLATION].
1) Armed Robbery Contrary To Section 285, 286 and 287 - Aliingia kwenye ofisi za watu kwa nguvu na kwa kutumia silaha za moto kuchukua mali za ofisi.
2) Kidnapping and Abduction Contrary To Section 244 & 246 - Alishiriki kuteka watu akiwemo Mo Dewj na Roma Mkatoliki.
3) Misuse Of Authority Of Office Contrary To Section 96 - Alitumia vibaya madaraka yake na Ofisi za umma.
Kichwa chako cha habari kinasema ni ukomavu wa hali ya juu kwa taifa letu kuonesha hakuna mtu alie juu ya sheria. Nlichoandika ni kupinga kauli yako hio, kwamba kuna watu wametenda jinai ila hawakufikishwa mbele ya hizo mahakama (Meaning to, wapo juu ya mahakama).Mkuu mbona unamhukumu kama wewe ni mahakama?
Sipendi kuhukumu mtu. Ila tambua kuwa jinai haina Mwisho.Kichwa chako cha habari kinasema ni ukomavu wa hali ya juu kwa taifa letu kuonesha hakuna mtu alie juu ya sheria. Nlichoandika ni kupinga kauli yako hio, kwamba kuna watu wametenda jinai ila hawakufikishws mbele ya hizo mahakama (Meaning to, wapo juu ya mahakama).
Hizo ni hoja kijana umejibiwa. Acha kulalama.
Hakuna cha ukomavu katika taifa letu, sheria na mahakama zipo Double Standard - Kwa baadhi watafikishwa mahakamani ila wengine hawatafikishwa mahakamani.