Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

madume ya kimeru tulikua tunakatwa tukiwa wakubwa. usimkate akiwa kachanga unatengeneza ukoo wa kiba100
Mtoto wangu wa kwanza tulimkata akiwa na 7 days na bado walisema ana maumbile makubwa mdogo ake tumekata akiwa na mwaka na miezi 11 bado pia wakadai ana maumbile makubwa. Na kweli jamaa zikidinda aisee si mchezo hadi mama yao huwa anashangaa sana. Kwahivyo hicho ulichosema ni nadharia tu.
 
ni rare case kama ya wanao, ila ukweli ndio huo take it or bury it.
 
Kunamambo mawili siwezi kuwafanyia wanangu katika umri mdogo
1. Kuwatahiri - Hii ni atleast amalize STD7
2. Kuwabatiza - Kwakweli hapa ntawaacha wakue wajage kuchagua imani zao wabatizwe huko.
 
Imekaaje hii?
Iko hivi, mtoto akiwa below 2 years hadi siku 7 kuna kifaa anavalishwa ambacho ndio kinakata lile govi japo ganzi ikiisha kuna maumivu atapata tena makali hasa kwa kama 4 hours baada ya hapo anakua sawa maumivu kwa mbaali. Sasa badala ya kushonwa nyuzi anavalishwa hicho kifaa.

Hicho ki'cap atakaa nacho for 7 days hadi kadondoke huku kila siku kwa hizo siku 7 anakua anakalishwa kwa beseni lenye maji ya dettol kutwa mara 3 lengo ni kudhibiti infection. Na hii inafanyika kwa watoto wenye umri kati ya siku 7 hadi miaka 2. Pale kwa Dr. Hameer Kariakoo nyuma kidogo ya kituo cha daladala fire wanafanya huduma hii kwa TZS 80,000/=
 
Mtoto wangu wa kwanza tulimkata akiwa na 7 days na bado walisema ana maumbile makubwa mdogo ake tumekata akiwa na mwaka na miezi 11 bado pia wakadai ana maumbile makubwa. Na kweli jamaa zikidinda aisee si mchezo hadi mama yao huwa anashangaa sana. Kwahivyo hicho ulichosema ni nadharia tu.
Unawapa promo watoto wako hapa, ukute ni viba100, mxxxiiiieeeww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iko hivi, mtoto akiwa below 2 years hadi siku 7 kuna kifaa anavalishwa ambacho ndio kinakata lile govi japo ganzi ikiisha kuna maumivu atapata tena makali hasa kwa kama 4 hours baada ya hapo anakua sawa maumivu kwa mbaali. Sasa badala ya kushonwa nyuzi anavalishwa hicho kifaa.

Hicho ki'cap atakaa nacho for 7 days hadi kadondoke huku kila siku kwa hizo siku 7 anakua anakalishwa kwa beseni lenye maji ya dettol kutwa mara 3 lengo ni kudhibiti infection. Na hii inafanyika kwa watoto wenye umri kati ya siku 7 hadi miaka 2. Pale kwa Dr. Hameer Kariakoo nyuma kidogo ya kituo cha daladala fire wanafanya huduma hii kwa TZS 80,000/=
Imekaa kimkakati hii
 
Back
Top Bottom