Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

Unawapa promo watoto wako hapa, ukute ni viba100, mxxxiiiieeeww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Actually yeye ndiye anajipa promo kwamba watoto wamerith kwake hahaha
 
Kunamambo mawili siwezi kuwafanyia wanangu katika umri mdogo
1. Kuwatahiri - Hii ni atleast amalize STD7
2. Kuwabatiza - Kwakweli hapa ntawaacha wakue wajage kuchagua imani zao wabatizwe huko.
Kumtoga masikio binti mdogo hajafika hata 1 year
 
Back
Top Bottom