'Ideology' hii si ya kweli kisayansi kwa sababu hormone za estrogen na testosteron huendelea kuzalishwa mwilini mwa mtu hadi uzeeni sana, pengine hadi mwisho mwa maisha kutegemeana na afya yake.Ukiweza kutembea na kula zaidi ya wanawake 30 kabla ya kufikisha miaka 34, basi kuanzia miaka 35 huwezi kuumizwa tena na mapenzi. Lakini ikitokea umefika miaka 35 na madem uliokula ni chini ya 10, hapo utaumizwa sana
Unakua huumii tena au unakua unajua namna ya handle situation ya maumivu?Utu uzima (ukomavu)
Mkuu Kutokana na uzowefu wangu na watu nilioishi nao, kuwa Malaya hakukufanyi kuwa na uwezo usikamatike kwenye mapenzi, Kuna mshkaji wangu alikuwa Malaya wa kutupwa, na alikuwa anakula demu Anaemtaka kwa sababu Ana pesa za kutosha kuwasumbuaa Hawa zuwarde, lakini alikuja Kukamatika kwa demu mmoja huyo na ndiye aliyemuoa, alikuwa kama chizi hawezi kupitisha siku bila ya kumuona, lazima kila siku aende kwao usiku wapige story anadudi kwake saa tano au Sita usiku, kwa Kukadiria tu yule hata mademu 500 kashapigaUkiweza kutembea na kula zaidi ya wanawake 30 kabla ya kufikisha miaka 34, basi kuanzia miaka 35 huwezi kuumizwa tena na mapenzi. Lakini ikitokea umefika miaka 35 na madem uliokula ni chini ya 10, hapo utaumizwa sana
Kukamatika kimapenzi sikusudii mtu asitamani, nazungumzia wale watu ambao wamefall in love, yaani kama unapenda mtu ukimuona tu moyo unaenda mbio kwa hofu, wakati mwengine hata kuongea unashindwa, Yale real love, Kuna namna mtu anakamatika wengine wakivurugwa wanaweza hata kujitoa uhai, kitu pekee kinachoweza kukuokoa na Hali hiyo ni kuichukulia mambo kiwepesi, don't take things seriously, vyenginevyo huna njia ya kujiokoa'Ideology' hii si ya kweli kisayansi kwa sababu hormone za estrogen na testosteron huendelea kuzalishwa mwilini mwa mtu hadi uzeeni sana, pengine hadi mwisho mwa maisha kutegemeana na afya yake.
Hata hivyo, iwapo zitaondolewa hormones zote mwilini kwa mfano: mwanaume akihasiwa, ubongo wake utaendelea kubakia na 'uzoefu' wa mapenzi.
Ndiyo maana siku zote tumeshauri kwa wabakaji, adhabu yao pendekezwa na ya mwisho iwe ni 'kuhasiwa' na si kufungwa.
Kuhasi ni kunyofoa kiungo kinachozalishia hormones zinazoleta matamanio na furaha.
Na kwa mwanamke pia, estrogen isipozalishwa mwilini, hawezi kuhisi mapenzi pamoja na hedhi hukoma.
Lakini ubongo wake hubaki na 'uzoefu' wa 'mamboayo', kwa hiyo hawezi kukosa kuendelea kuona wivu.
Haujawahi kuona vimbabu vikikohoa pindi msichana mrembo anapokatisha mbele zao?
Hapo ubongo huwa unavurugwa na hisia za matamanio na kubakia kujifariji moyoni kwamba: 'ingelikuwa enzi zangu singelikubali kiumbe huyu kukatisha kizembe mbele yangu, sitakagi ujinga mie, koh koh koh'.
Ok.Kukamatika kimapenzi sikusudii mtu asitamani, nazungumzia wale watu ambao wamefall in love, yaani kama unapenda mtu ukimuona tu moyo unaenda mbio kwa hofu, wakati mwengine hata kuongea unashindwa, Yale real love, Kuna namna mtu anakamatika wengine wakivurugwa wanaweza hata kujitoa uhai, kitu pekee kinachoweza kukuokoa na Hali hiyo ni kuichukulia mambo kiwepesi, don't take things seriously, vyenginevyo huna njia ya kujiokoa