Silent Echo
Member
- May 28, 2026
- 26
- 69
kwahiyo pombe ni tamuπ€£π€£Pombe ni mbaya hii sio kweli hata kidogo.
pombe haina shidakwahiyo pombe ni tamuπ€£π€£
Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.
Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?
Shiriki mawazo yako kwa na kwa mifano ikiwezekana.
Letβs go ππ
π€£π€£π€£ππKuwa Samuya ni binadamu wa kawaida
Sisiemu itawaletea maendeleo wananchi.Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.
Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?
Shiriki mawazo yako kwa na kwa mifano ikiwezekana.
Letβs go ππ
ππππKuwa Samuya ni binadamu wa kawaida. Na kumbe ni kahaba wa ibilisi. Mke wa ibilisi
Kikubwa kabisa hapa ni uwepo wa Mungu.Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.
Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?
Shiriki mawazo yako kwa na kwa mifano ikiwezekana.
Letβs go ππ
Karibu kesho misa ya kwanza st Joseph mzeeKikubwa kabisa hapa ni uwepo wa Mungu.
Mpaka leo hakuna aliyeweza kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini watu wanaaminishana kwa kukariri tu kuwa Mungu yupo.