Ni uongo tu toka Day 1

Sawa nimekuelewa. Lakini huu sio uzushi. Na wala sitaita ni bahati kwa sababu bado ni mapema sana.
Swali ni kuwa:
1. Kwa nini chanjo imepelekwa haraka sana wakati ugonjwa huu si hatari kama inavyosemwa?
2. Kwa nini hawaongelei dawa badala yake wamekazania tu chanjo? - Kuna madaktari waliotibu maelfu ya watu kwa kutumia Ivermectin na watu wakapona, lakini dawa hii imepakwa matope kwa kila hali na madaktari hao wamepakwa matope vileivle.
3. Kwa nini hivi sasa wanaongelea kuchanja watoto - mfano kanada na australia - wakati watoto hawana kabisa risk ya kufa na hata kuugua ugonjwa huu?
4. Kwa nini israeli ambayo ndiyo imechanja sana - ndiyo inayoteseka zaidi na kovid? Hivi kinachowatesa ni kovid kweli au ni chanjo?

Mkuu hebu jaribu kumsikiliza huyu nesi kisha unisaidie kufikiria majibu ya maswali haya.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kujibu maswali yako; ,,nakushauri uanapotafuta habari kuhusu covid usiegemee habari za vichochoroni pekee bali tafuta pia kutoka vyanzo rasmi ili uweze kulinganisha na kisha uchuje ili uone ukweli upo wapi.

Ikiwemo TBC, lakini kuna BBC , DW , VOA , ALJAZEERA , RT nk.
 
Unfortunately hizo zote ulizotaja si vyanzo rasmi vya kovid mkuu. Hivyo ni vyanzo vya political news. Habari rasmi za kovid zinatoka kwa wanatasnia ya afya wenyewe. Mfano mzuri ni Dr Yeadon aliyekuwa CEO wa pfizer wakati fulani na amefanya kazi kwenye vaccine industry kwa miaka 30. Yeye kwa nguvu ZOTE anasema kila mtu anayependa maisha yake akatae kabisa kupokea chanjo hizi. Mwingine ni Professor Bakhdi ambaye ni mkufunzi wa medicine. Naye anasema kataeni chanjo hizi. Wako wengi naweza kuorodhesha. Lakini bottomline ni kwamba wote wanakubaliana kuwa: 1. Hizi si chanjo. 2. Ni hatari. 3. Kila mtu akatae na kuepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…