Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
- Thread starter
- #21
Sawa nimekuelewa. Lakini huu sio uzushi. Na wala sitaita ni bahati kwa sababu bado ni mapema sana.Ninaoongelea ni watu ambao nakutana nao kila siku. ( Binafsi nimeshachoma hiyo JJ)
Ndani ya siku tatu tuliweza kuchoma watu karibia 300 ambao tunafanya kazi pamoja. Mimi sikupata side effects, wengine walipata, na baad ya wiki moja hakukuwa na hata mmoja anayelalamikia side effeects.
Pengine sisi tuna bahati sana.
Kuna uzushi ulio dhidi ya chanjo.
Kuna uzushi unaopigia debe chanjo.
Binadamimu ni kiumbe cha ajabu sana.
Swali ni kuwa:
1. Kwa nini chanjo imepelekwa haraka sana wakati ugonjwa huu si hatari kama inavyosemwa?
2. Kwa nini hawaongelei dawa badala yake wamekazania tu chanjo? - Kuna madaktari waliotibu maelfu ya watu kwa kutumia Ivermectin na watu wakapona, lakini dawa hii imepakwa matope kwa kila hali na madaktari hao wamepakwa matope vileivle.
3. Kwa nini hivi sasa wanaongelea kuchanja watoto - mfano kanada na australia - wakati watoto hawana kabisa risk ya kufa na hata kuugua ugonjwa huu?
4. Kwa nini israeli ambayo ndiyo imechanja sana - ndiyo inayoteseka zaidi na kovid? Hivi kinachowatesa ni kovid kweli au ni chanjo?
Mkuu hebu jaribu kumsikiliza huyu nesi kisha unisaidie kufikiria majibu ya maswali haya.