Ni uongo upi usio na mantiki umewahi kutana nao kwenye Bongo Movie?

Kaangalie hizi uje na mrejesho wako;

Moses
Dar to Lagos
She is my Sister
Village Pastor
Uncle JJ
This Is It
Renthal Poison
Hazina ya Kanisa
Devil Kingdom
Magic House
Fake Smile
na nyingine kibao 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna movie moja nyoka anatembea kama garimoshi
 
Halafu na ile watu wasiohusika kushangaa shangaa wakat movie ikishootiwa mpaka wanatokea kwenye movie na mishangao yao inabd waanze kuweka traffic control wakati wa shooting
 
Sometimes cameraman naye ankimbia na camera yake [emoji23][emoji23]
 
Alihitimu akawaacha wenzie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…