Nakasirika sana nikikuta home wanaangalia huo upuuzi na wanafahamu nikiingia tu wanabadili channel.Huba imekosa reality. Matukio yamekosa ubunifu. In real life hayawezi kutokea.
Mambo ya "You are going where?"Si mpenzi sana wa Bongo movies ila sometimes kuna mazingira huwa inatokea naangalia bila kupenda (mf; kwenye mabasi ya mikoani)
Huwa napenda sana kusoma subtitles za kingereza, kiukweli zina makosa mengi ya grammar na typing errors. Hapo ndo wanajinasibu wanataka waende kimataifa.! Bado tunasafari ndefu sana
🤣🤣🤣Mtu yupo Officeni anakumbuka tukio la mika 10 ilio pita lakini picha ya Rais kwa Office bado Unaikuta ya Mama Samia