Mbona huoni hoja hapo? Suala ni open democracy, kufuata katiba. Ushiriki wa uongozi kikatiba, siasa safi na uongozi bora.Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Na Mbowe wamemjumuishamo! Dah! Sijui kama watajibu!Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Na akija lissu naye utasikia oooooi,kama unavyosikia sada hivi MO anavyoshutumiwaNyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Hatutaki MAUAJI, UTEKAJI na UFIRAJI.Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Ukiona unaridhika na uongozi basi wewe si mzima kichwani.Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Uongozi utakao heshimu katiba na utakao heshimu matakwa ya wananchi wake sio matakwa binafsi au matakwa ya chama bali matakwa ya wananchi na mahitaji yao, haiwezekani hospitali haina madawa wala vifaa tiba ,shule hazina walimu na majengo bora,halafu serikali inatoa oda kununua Toyota za mwaka 2025 zaidi ya 30 kwa bei ya 600 Milion kila moja kwa ajili tu ya kutembelea wanasiasa ambao hawana mchango wowote kwenye kukuza uchumi wa nchi zaidi ya porojo, yani mtu mmoja anakalia 600mil huku maelfu hawana huduma na wanakufa kwa kukosa huduma hapo hapo wananchi wanasikia kuna watu fulani wamefisadi mabilioni ya fedha za serikali halafu yule mwenye mamlaka ya kuwawajibisha anasema "hata hivyo hali sio mbaya sana kama zamani" na wezi wanaendelea kuenjoy na kuitwa ikulu kungonga cheers za mivinyo, Damn! wenye akili woye wanawezaje kukaa kimya kwa mazingira hayo!?Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Mpk wao waingie madarakani ndio uongozi watakaousifu. Omba Mungu umalize mwendo wako hp duniani, uongozi wa hao nyumbu usije ukakukuta, hao kwanza na njaa waliyo nayo hiyo demokrasia utaitafutia uvunguni mwa kitanda na hautaiona.Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.
Nyerere ooooo
Mwinyi oooo
Mkapa oooo
Jk blaaaaa
Jpm blaaaablaaa
Suluhu blaaa and out
Yupi aliwapa ahueni.