Nadhani hapo red ulimaanisha Months!Kuna mtu alikuja na post kama hii bt hii yangu iko tofaut kidogo..she's r.i.p 8 mothr sasa,na aliacha watoto 2 wadogo miaka 6 na 10.kuwalea ni shughul coz wanasoma na jinsia yao tofaut.which way i can follow..ili niishi kama zaman..na machungu ni makali sana..naomba msaada wenu wana jf
Pole sana mkuu. Machungu hayawezi kwisha kwa haraka hivyo, tulia kwanza usikimbilie kuoa, sina hakika kama hiyo itakuondolea machungu, wakati mwingine inaweza kukuongezea zaidi. Watoto ni wadogo, kama mama yupo mchukue akusaidie kulea watoto ili uendelee na shughuli zako. Au tafuta h'girl mtu mzima akusaidie kuangalia watoto. Kuoa bado ni mapema mno. Pole again na Mungu akutangulie.Kuna mtu alikuja na post kama hii bt hii yangu iko tofaut kidogo..she's r.i.p 8 mothr sasa,na aliacha watoto 2 wadogo miaka 6 na 10.kuwalea ni shughul coz wanasoma na jinsia yao tofaut.which way i can follow..ili niishi kama zaman..na machungu ni makali sana..naomba msaada wenu wana jf
Kuna mtu alikuja na post kama hii bt hii yangu iko tofaut kidogo..she's r.i.p 8 mothr sasa,na aliacha watoto 2 wadogo miaka 6 na 10.kuwalea ni shughul coz wanasoma na jinsia yao tofaut.which way i can follow..ili niishi kama zaman..na machungu ni makali sana..naomba msaada wenu wana jf

kwanza pole sana
Pili we unataka kuoa ajili gani??
unatafuta mtu wa kuwatunza watoto,
unatafuta mtu wa ku m replace mkeo au
wataka kuoa ajili umempata umpendae??
samahani sana kwa maswali yangu....
kwanza pole sana
Pili we unataka kuoa ajili gani??
unatafuta mtu wa kuwatunza watoto,
unatafuta mtu wa ku m replace mkeo au
wataka kuoa ajili umempata umpendae??
samahani sana kwa maswali yangu....
Pole sana kwa kufiwa na mkeo (kipenzi). Sikubaliani na wewe kuhusu suala la kuoa kwa sababu ulizotoa. Kuoa kwa sababu yoyote ile nje ya love si kuoa. kama ni majukumu, tafuta housegirl au hata ndugu kijijini aje alee wanao. Watoto wa miaka nane si wadogo sana, wanaweza kukaa na housegirl. Tena ningekushauri uendelee kukaa single kwa muda zaidi watoto wakue. Nakwambia utaja oa hao watoto wapate shida kwani wanawake sisi tuna roho mbaya sana when it comes to husband's children. My dad and mom divorced when I was 13 and my young sister 10 but my loving dad hakuoa na hiyo imetufanya tuwe na bright future, tulilelewa na house maid kibibi. Our dady was so close to us telling us everything that we should and should not do including dating. Jenga ukaribu na wanao utaweza kuwalea tu.
Hata kama ulikuwa na nyumba ndogo, ihache iendelee kukupa service at a distance. Ukiipa promotion utaona mziki wake.