Ni upi uhalali wa ndoa ya mkeka?

Ni upi uhalali wa ndoa ya mkeka?

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,659
Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka

Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa
Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo faragha na muda huo huo ndoa hupishwa na kufungishwa na shekhe

Ndoa hizi zimekuwa zikihusishwa na dini ya kiislamu kwa asimilia mia moja, uhalali wa ndoa ya mkeka ni upi

Hapa najaribu kuona ni kwanini uislamu umeendekeza aina hii ya ndoa? Kitendo cha kuwalazimisha watu waonane kwa sababu tu wamekutwa wanacheza yope kiukweli si haki

Wazazi wa binti wanakuwa wamepoteza mahali, kwani ni utamaduni wetu

Ndoa haidumu kwani wanandoa wanakuwa wamelazimishwa

Ndoa hii pia huwaingiza watoto wadogo kiumri katika ndoa kwani haijali kama mtoto au mtu mzima amekutwa ndani kwa mwanaume ni pale pale ndoa hufungishwa

Mapenzi hayalazimishwi, hivi uhalali wa ndoa za mikeka uko vipi kisheria?
Je kanisa (ukristo) unatambua uhalali wa ndoa za mikeka?
 
1.Kweli zinahusisha uislam 100/%
2.Wazazi hawaezi poteza mahari kwani si halali yao ni halali ya muolewaji
3.Kwenye ukristo hazipo kwani huko uzinzi ni ruksa maana badae huwa tunabariki(Kuhalalisha uzinzi)
4.Watoto kuingia kwenye ndoa ni tatizo ila watoto kufanya uzinzi si tatizo?
 
Back
Top Bottom