Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Mkuu KakaKiiza, asante, usichanganye simulizi za visa na reality!, kwenye simulizi kuna kitu kinaitwa "the highest stage of Mind Suggestibility" ambayo humtokea mtu anapokuwa kwenye influence ya hypnotism, unaweza kuamini kabisa kuwa unaona kitu fulani kwa macho makavu, kumbe huoni chochote bali ubongo wako unachora mind picture na macho kudhania yanaona!. Hizi hutokea mara nyingi kwa walioondokewa na wapendwa wao katika questionable circumstance za kutoamini, unaweza kujiona kama unamuona!. Au madereva wengi wakati wa usiku, husababisha ajali kwa kukwepa kugonga kiumbe,kumbe kulikuwa hakuna lolote!, wengine wakiita majini, mashetani, wanga, mizimu etc!.
Thanks.
Pasco
 
Ktk 'documentary' moja mwaka 2013 kutoka Animal Planet jamaa waliitengeza na kueza kughilibu watu. They almost almost got me.

Debunked here.
 
Hahahaaa, mmeshaingizwa chaka!
 
Mkuu nimewahi kuona picha ya huyo samaki nguva ni kweli yupo ila si huyo mwenye kiwiliwili cha binadamu yeye ana mkia mrefu wenye mpasuo katikati ambao ni mrefu mpaka juu na ndio maana watu huchukulia mpasuo huo kuufananisha na miguu ya binadamu vile vile ana matezi ubavuni yaliyokaa kama mikono miwili kwa mantiki hiyo watu humuita samaki mtu
 
Hapo mkuu nakubaliana na wewe kabisa, mi yalishanikuta kwenye hizi wanazoziita tv za asili!!kuna wizi ulitokea kazini sasa nani alihusika ndio ikawa shida, bosi akatupeleka kwa mtaalam wake,,bwana tukanywesha dawa fulani tukaambiwa tunuwie tunachotaka, e bwana mazingira yote ya ofisi unayaona na mtu anaingia ila humutambui kwani picha ni black and white
 
Hawa viumbe wapo ila hii issue nusu mtu nusu samaki ni za kutunga tu hasa enzi zile za analojia tulikuwa tunapata sana hizi simulizi
 
samaki nguva yupo lakini hana sura walizoziweka hapo ila anazaa na ni mkubwa sana .... lakini si kweli kwamba wanamwili wa binadamu juu
 
Nakumbuka miaka ya 80 mwanzoni enzi hizo kulizuka kitu Tanzania kwa jina la "mtu joka" na kilitikisa kweli jiji na magazeti yaliishia kuchora picha tu nadhani ndio kama hii ya nguva
 
Jf , nyumbani kwa Great Thinkers...............

Wadau wakati mwingine tuchukue muda kusoma na kudadisi badala ya kurukia hitimisho....

Issue inaweza kuwa si ya kweli ama uzushi lakini lazima ijibiwe kwa ''facts'' na sio kwa blah blah....

Hii habari niliiona kwenye mtandao wa Kenya tarehe 7 august 2014 kuwa nguva(aliyekufa) ameonekana pwani
ya Benin. Dead Mermaid washed ashore on a beach in Benin- Photos.
japokuwa habari yenyewe ipo kwenye mtandao ambao sio ''reliable'' lakini ilinipa wakati wa kutafakari ukweli ama uzushi wa habari hii.

Lakini pia nikakuta habari hiyo hiyo kwenye mtandao wa Kenyan Post......

DAILY POST: PHOTOs!! MERMAIDS are real, here is a dead MERMAID washed ashore in Benin
 
Sasa mkuu Pasco, wataka kuniambia kuwa hakuna wondering spirits?
 
Wanajanvi mpo... mimi nasikia tu kuna kiumbe anafanana sana na mtu... samaki mtu... Ebu tupien picha yake kwa wanaoifaham isue hii.... weka eleza je anaweza fanana kutabia na mtu... tuelezen mnaojua.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…