Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

wewe kinabo acha ushamba wewe unadhani na akili yako fupi facebook na jamii folum kipi kiko juu tambua jf wako na plofile kule fb ,hayo ndio matatizo ya kuijulia jf ukubwani na bahada ya kununua ilo li mchina lako

Free your soul, free your mind and then free yourself from the negative talk or on the future you'll regret for what you're saying today.
 
Ni samaki anayenyonyesha thats why akafananinshwa na mwanamke,but sii kweli kwamba anafanana na mtu au ndiye huyo wa kwenye picha lah,nendeni pale makumbusho ya taifa mtamuona huyo nguva.
 
...mermaid is an imaginary creature that does not exists, mi huwa Kila siku naangalia habari za dunia from different sources,

ningekuwa nishakutana na hii habari, zaidi napata za Gaza na Iraq, US-Africa summit n.k. Lakini siyo hiyo
 
Hebu sikilizeni na kuangalia hii documental......

 
Last edited by a moderator:
hivi nguva wapo kweli? mi najuaga ni stori tu na uzushi.. je africa wanapatikana? na je wanaweza kuongea lugha kama zetu?,je wanaweza kuishi nchi kavu kwa muda kadhaa bila kuathiriwa na hali ya hewa? je wapo jinsia zote mbili yani KE na ME?
 
10431485_10152275852714135_9016094709215076870_n.jpg



10527540_10152275852494135_1695708987582328173_n.jpg
 
Back
Top Bottom