Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu KakaKiiza, asante, usichanganye simulizi za visa na reality!, kwenye simulizi kuna kitu kinaitwa "the highest stage of Mind Suggestibility" ambayo humtokea mtu anapokuwa kwenye influence ya hypnotism, unaweza kuamini kabisa kuwa unaona kitu fulani kwa macho makavu, kumbe huoni chochote bali ubongo wako unachora mind picture na macho kudhania yanaona!. Hizi hutokea mara nyingi kwa walioondokewa na wapendwa wao katika questionable circumstance za kutoamini, unaweza kujiona kama unamuona!. Au madereva wengi wakati wa usiku, husababisha ajali kwa kukwepa kugonga kiumbe,kumbe kulikuwa hakuna lolote!, wengine wakiita majini, mashetani, wanga, mizimu etc!.Mkuu kwa maelezo yako naweza nikaamini ila bado swali langu lipo palepale hawa viumbe wapo?walikuwepo?na kwa nini Hadithi zake zimetamalaki sana si tanzania tu hadi ulaya wanaamini hiki kitu kipo japo mtasema wazungu brah brah ila haiwezekani ikaongelewa kihivyo kama visa kama hivi haivijawahi kutokea ulimwenguni.
Thanks.
Pasco
