Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
nguva nadhani ni tofauti na marmaid sijui lkn nachoojua mm nguva ni mnyama mkubwa sana anae ishi bahari zenye vina virefu wel nikisema mnyama sifa zake mwazijua interms of kunyonyesha na kuzaa nk.. lakm hao mormaid inasemekana! inasemekana! eti wanakuwa na umbo labinadamu tena mwanamke kwasab kichwa chake kinakuwa na rasta lkn zipo kama vile mikia ya pweza (vuta picha utaelewa )japo ni nusu hadi kiunoni ndo anamuonekano wa mwanamke na maziwa lkn huku chini anamiguu kama samak yan upo mmoja tu kama alivyo samaki sasa tukisema tumuelezee weee tunakuwa tunakosea wakati hatujawahi mshuhudia, kwani hilo swali ni lazima sana ujibiwe ili tuingia library kwa uchunguzi zaidi tuone kama tutapata chochote