Siamini uwepo wa hawa samaki,kwa sababu moja tu: juu binadamu,chini samaki,ina maana ktk mfumo wa kupumua wanawezaje kupumua chini ya maji,wakati wana pua kama ya mwanadamu? Na macho kama ya mwanadamu? Wanakula nini ktk mazingira kama hayo? Na kama kweli wamarekani wamehifadhi nguva 7,kwa nini iwe siri? Marekani siyo kama TZ wao wana vyombo vingi mno vya habari vya kila aina ambavyo ni vidadisi sana,tungeona kwenye magazeti yao ya kimataifa kama,The News Week,na The TIMES,yakiwa na vichwa vizito vya habari kama,(Bizzare creatures found) viumbe tatanishi waonekana,kila tukisikia habari ya nguva,inakuwa maneno tu,yasiyo na uhakika,tunaonyeshwa picha tu,ambazo kwa teknolojia ya leo zinaweza tengenezwa,afadhali ingekuwa video picture tungesadiki,mambo ya kuambiwa eti utafiti ulifanyika na kweli nguva wapo,si kweli,how can a research be conducted without a thorough proof of wht was being researched? Marekani wanavyopenda sifa wawe na nguva then wawafiche,kwa lipi? Labda wanawapa technology hapo sawa.
Ingia youtube mzee kuna video za nguva(mermaid) nyingi tu achana na zile za filam zipo video za live