Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?


Ingia youtube mzee kuna video za nguva(mermaid) nyingi tu achana na zile za filam zipo video za live
 
Jamani kumbe tulikuwa tunadanganyana sana kuwa samaki aina ya nguva ana umbo kama msichana mrembo sehemu ya kukatia kiunoni kwenda juu na kwenda chini samaki.

Huu ni uongo mtupu wa hadithi, ukweli ni kwamba nguva ni samaki mkubwa mwenye umbo la samaki ila sehemu ya kichwani hasa mdomoni anafanana kila kitu na ng'ombe na kitaalam anaitwa NG'OMBE BAHARI.

Huu ndio ukweli wa nguva, ukitaka ushahidi kamili nenda pale posta makumbusho ya taifa utamuona huyu samaki nguva na utakubaliana nami.
 
kunanguva nimemwona Utube kavaa na sidilia noma aisee
 

....weka picha sio unapepesa macho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…