HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Fyddell, asante. Wondering spirits zipo, ila visions na apparitions nyingi ni mind suggestibility tuu!, hata mtu malaria ikipanda kichwani anaona vitu wengine wote hatuvioni!. Zile dhana na mtu mmoja kuono kitu wengine wote hatukioni ni mtihani kati ya mind suggestibilities na true visions!.Sasa mkuu Pasco, wataka kuniambia kuwa hakuna wondering spirits?
Halafu amefuga rasta
Hawa viumbe wapo ila hii issue nusu mtu nusu samaki ni za kutunga tu hasa enzi zile za analojia tulikuwa tunapata sana hizi simulizi
Sio kila kitu ni kupinga, kama hapo ulipo ungekuwa unajua aina zote za viumbe ambavyo vipo ndani ya bahari ungeweza kuandika hivyo lakini ninachojua hapo ulipo haufikii hata 0.01% ya kujua aina ya viumbe vinavyoishi ndani ya bahari hivyo ni vema ungekaa kimya.hizi porojo nyingine bwana, mtu mzima unachukua picha za danganya toto!!
Hawa viumbe wapo ila hii issue nusu mtu nusu samaki ni za kutunga tu hasa enzi zile za analojia tulikuwa tunapata sana hizi simulizi
Baharini kuna viumbe wengi tu kama hiki hapa kwenye hii video na chenyewe hautaamini?Sijui kwa nini sitaki kuamini kitu kama hicho.
wewe kinabo acha ushamba wewe unadhani na akili yako fupi facebook na jamii folum kipi kiko juu tambua jf wako na plofile kule fb ,hayo ndio matatizo ya kuijulia jf ukubwani na bahada ya kununua ilo li mchina lako
Analiwa huyo samaki??
samaki nguva yupo lakini hana sura walizoziweka hapo ila anazaa na ni mkubwa sana .... lakini si kweli kwamba wanamwili wa binadamu juu