Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
Acha fix mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
Sasa mbona huyo hapo makumbusho hana maziwa?
Kuna simulizi za ajabu ajabu kuhusu huyu samaki; kwa mfano wanasema kwamba mvuvi akimvua lazima kwanza afanye naye tendo la ndoa kama tambiko.
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
Kumuona jini ni bahati?????
Na samaki akipata ujauzito je, inakuaje?
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
Natatanishwa na hili jambo ambalo nimeanza kulisikia nikiwa
mdogo hadi sasa nakuwa, nimeogelea baharini, nimewahi kuvua
Samaki kama Mkunga, Ngisi, Ronaldo(Pweza) n.k lakini sijawahi
kumuona huyo Nguva.
Hapa ningependa kusikia kutoka kwenu munafahamu nini juu
ya samaki mtu NGUVA?
Hii mpya...Kuna simulizi za ajabu ajabu kuhusu huyu samaki; kwa mfano wanasema kwamba mvuvi akimvua lazima kwanza afanye naye tendo la ndoa kama tambiko.
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
Duh, Baadae ulimfanyia nini? Kitoweo?Huyo samakinguva yupo kweli na mimi nishawah kumvua mwaka 93 huko Kilwa
Kivinje, nilistuka sana nilipomuona lkn nikajipa ujasir wa kumchukua wavuv wenzangu wakaniambia huyo ni nguva na wakataka kufanya nae mapenz ila sikuwaruhusu wafanye huo upuuz wao.
kama hakuna kitu kama hicho jamani mbona anasemwa sana? watu watoa wapi habari zake?Kwa hiyo tunaweza sema kipo lakini si kiumbe
cha kawaida.
Mbona hujaongeza binadam??? au siyo mnyama???Kiuhalisia nguva si samaki ila yuko katika kundi la wanyama kama walivyo tembo, nyati na wanyma wengine wanaonyonyesha. Ni story tu hizo zinasimuliwa kuhusu huyo nguva.
Inaelekea wewe ni mtu wa bara ndiyo maana huamini lakini uliza watu wa pwani hasa wavuvi au wale wanaoishi maeneo ya visiwani au mwambao watakwambia. kuna watu wanakula samaki huyu ili mimi siwezi kabisa[ingawa ni mtu wa mwambao]kama hakuna kitu kama hicho jamani mbona anasemwa sana? watu watoa wapi habari
zake?