Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu TUKUTUKU Kazi kwako uiamini au usiamini mimi simo mchanga wa pwani huo..........................Mkuu MziziMkavu hivi uwepo wa nguvu ni jambo la kufikilika au kuna ukweli furani?Nimeiangalia hii youtube,lakini naona ni kama picha ya kutengenezwa!
guys n kwel samakimtu mermaid yupo plz n hakkshe....njibun nijue mko active nwape info pctre and vdeo sorry n post ya mda mref ila ndo nmeikuta xo ntak nwahakkshie
Kama ndo yuko hivi style kama CHUMA MBOGA utapigaje?![]()
ndo huyu ama¿¿ haki ni mrembo haswaaaa
yupo....nilishawahi kumuona kwa macho yangu.....
Kama ndo yuko hivi style kama CHUMA MBOGA utapigaje?
guys n kwel samakimtu mermaid yupo plz n hakkshe....njibun nijue mko active nwape info pctre and vdeo sorry n post ya mda mref ila ndo nmeikuta xo ntak nwahakkshie
Kama ndo yuko hivi style kama CHUMA MBOGA utapigaje?
Mboga hakuna hapo.
We si ulimuona, tuambie basi ilipo! !hata hiyo nyama ipo wapi........?
![]()
ndo huyu ama¿¿ haki ni mrembo haswaaaa
correction !si samaki ni mamalia wa baharini kama seal,warlus,dolphins etcHizo hadithi tu, Nguva anaitwa Dugong, ni samaki ila ananyonyesha ndo maana anafananishwa na mwanamke, ukienda makumbusho ya taifa utamkuta
KAma ngombe au kiboko ila ananyonyesha!ok,na hana muonekano wa kufanana na binadam kisura??