SEASON 5
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 481
- 1,008
Habarini NDUGU ZANGU,
Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura umalizike.
Wengine wanasema baada ya mchakato wakupiga kura kuisha wakati tunasubiri matokeo ya urais watu wote tutakua majumbani mpaka matokeo yatakapo tangazwa, je hii ina ukweli ndani yake?
Kama si kweli, wanaojua ukweli ni upi?
Kama ni kweli, si tutakufa njaa sasa kwa siku hizi hasa sisi machinga watembeza mihogo kwenye beseni?
Naomba mwanga kidogo kuhusu hili wana jamiii wenzangu.
Wenu mtiiifu
Zai