Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya.
Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa.
Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza.
Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!.
Ni kama Kesi iliishia hapo kirahisirahisi, Kwa Lugha nyepesi ni kua Dada wa Bilionea Msuya, alijichinja mwenyewe.
Swali langu Kwa wanasheria wa Jamii forums,,, Inapotokea Mahakama imehamia namna hii, ni upi Wajibu wa Jamhuri?.
Ni sahíhi Kwa Jamhuri kuishia hapo?.
Jamhuri inapaswa kuanzisha Upya upeleleIezi kukusanya ushahidi usokua na mshaka?.
Au ikiisha imeishaa hiyo !!