jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ni upuuzi kwa Tanzania na dunia kujiaminisha na uvaaji wa barakoa ambazo kimsingi sio barakoa sahihi za kuzuia virusi vya Corona.
Kwa mujibu wa wanasayansi barakoa inayoweza kumzuia kirusi wa corona ni barakoa ya aina ya N95 yaani yenye uwezo wa asilimia 95 kuzuia maambikizi. hivyo barakoa zaidi ya N95 ni barakoa ya show off na pengine inakufanya uwe uncomfortable tu.
Inawezekana barakoa za kawaida zikasaidia hasa kwa wale wenye dalili za mafua na kikohozi ili wasirushe makohozi au droplets.
Kwa andiko hili napenda kuwasisitiza jamii, wataalamu, na wanasiasa kuwa tujihadhari tukiwa na uelewa wa kutosha na tuache show off.
Barakoa ivaliwe kwa mwenye dalili za mafua au kifua na pale ambapo unapoenda kwenye mkusanyiko ambao ndani yake kuna watu wanakohoa au mafua.
Uvaaji wa barakoa kwa muda mrefu unaweza kukuathiri kwa kukosa hewa safi ya Mungu na pengine chembechemmbe za nguo kukuingia na kujisikia vibaya.
Wito wangu kwa watanzania ni kuwa tuvae barakoa kwa kuzingatia tahadhari na viashiria vya maambukizi ya magonjwa ya njia ya hewa.
Kamwe tusiwe wapuuzi kuiga na kutekeleza ushauri wa kihuni. Kama kuna mwansayansi wa kupinga andiko langu ajitokeze.
Halafu tusikubali kudanganywa na wapuuzi wasioijua.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA