Ni upuuzi kujiaminisha na barakoa feki

Ni upuuzi kujiaminisha na barakoa feki

Ni upuuzi kwa Tanzania na dunia kujiaminisha na uvaaji wa barakoa ambazo kimsingi sio barakoa sahihi za kuzuia virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa wanasayansi barakoa inayoweza kumzuia kirusi wa corona ni barakoa ya aina ya N95 yaani yenye uwezo wa asilimia 95 kuzuia maambikizi.
hivyo barakoa zaidi ya N95 ni barakoa ya show off na pengine inakufanya uwe uncomfortable tu.

Inawezekana barakoa za kwaida zikasaidia hasa kwa wale wenye dalili za mafua na kikohozi ili wasirushe makohozi au droplets.

Kwa andiko hili napenda kuwasisitiza jamii, wataalamu, na wanasiasa kuwa tujihadhari tukiwa na uelewa wa kutosha na tuache show off.

Barakoa ivaliwe kwa mwenye dalili za mafua au kifua na pale ambapo unapoenda kwenye mkusanyiko ambao ndani yake kuna watu wanakohoa au mafua.

Uvaaji wa barakoa kwa muda mrefu unaweza kukuathiri kwa kukosa hewa safi ya Mungu na pengine chembechemmbe za nguo kukuingia na kujisikia vibaya.

Wito wangu kwa watanzania ni kuwa tuvae barakoa kwa kuzingatia tahadhari na viashiria vya maambukizi ya magonjwa ya njia ya hewa.

Kamwe tusiwe wapuuzi kuiga na kutekeleza ushauri wa kihuni. Kama kuna mwansayansi wa kupinga andiko langu ajitokeze.

Halafu tusikubali kudanganywa na wapuuzi wasioijua
View attachment 1832821

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Lile tahira limewaambukiza ujinga!! , yaani roho zinawauma watu wakivaa barakoa
 
Andiko lako lina mantiki tatizo umeandika kwa jaziba kiasi kwamba umesahau kujenga hoja yako vizuri.
 
Sijui kwanini mtu akivaa barakoa naona kama ana ugonjwa wa akili?

Unakuta hata liaskofu limejibandika barakoa usoni! Ati anajikinga na corona!! Whaaatt!!!

Tulipofika, hata niliokuwa nawaona wana akili kumbe ni majuha tu!

Upumbavu wa kuvaa mabarakoa ni upumbavu unaonisisimua sana!

Kwa sasa, hayo mabarakoa yamekuwa kama fasheni ya kitapeli tu!

Mtu akitaka kupata kiki ya kisiasa au kusifiwa na mabeberu, basi anajitwika zigo la barakoa usoni!
Siku ujinga ukikutoka we Nzi utaweza hata kutengeneza asali. Kuwa kiongozi wa dini ni tiketi ya kutochukua tahadhari kuhusu maisha yako. Hivi mazuzu kama wewe mnaoamini maneno ya marehemu kama msahafu bado mpo nchi hii? Shitukeni kumekucha!!
 
Hizi ni tahadhari kwa mvaaji wa barakoa azifuatilie..na si athari za kuvaa barakoa...
Nenda ka google ulete zingine tuzipangue...
Tahadhari zisipofuatwa matokeo yake hutokea madhara hata hilo umeshindwa kulijua kweli? sasa sijui unategemea matumizi yasio sahihi ya barakoa yatakukinga na corona?

Nime Google nyengine hii:

Face masks are not well tolerated by certain population groups (e.g. children) or by persons with chronic respiratory disease.
 
Ni upuuzi kwa Tanzania na dunia kujiaminisha na uvaaji wa barakoa ambazo kimsingi sio barakoa sahihi za kuzuia virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa wanasayansi barakoa inayoweza kumzuia kirusi wa corona ni barakoa ya aina ya N95 yaani yenye uwezo wa asilimia 95 kuzuia maambikizi.
hivyo barakoa zaidi ya N95 ni barakoa ya show off na pengine inakufanya uwe uncomfortable tu.

Inawezekana barakoa za kwaida zikasaidia hasa kwa wale wenye dalili za mafua na kikohozi ili wasirushe makohozi au droplets.

Kwa andiko hili napenda kuwasisitiza jamii, wataalamu, na wanasiasa kuwa tujihadhari tukiwa na uelewa wa kutosha na tuache show off.

Barakoa ivaliwe kwa mwenye dalili za mafua au kifua na pale ambapo unapoenda kwenye mkusanyiko ambao ndani yake kuna watu wanakohoa au mafua.

Uvaaji wa barakoa kwa muda mrefu unaweza kukuathiri kwa kukosa hewa safi ya Mungu na pengine chembechemmbe za nguo kukuingia na kujisikia vibaya.

Wito wangu kwa watanzania ni kuwa tuvae barakoa kwa kuzingatia tahadhari na viashiria vya maambukizi ya magonjwa ya njia ya hewa.

Kamwe tusiwe wapuuzi kuiga na kutekeleza ushauri wa kihuni. Kama kuna mwansayansi wa kupinga andiko langu ajitokeze.

Halafu tusikubali kudanganywa na wapuuzi wasioijua
View attachment 1832821

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwa hiyo unatuaminisha kwamba Magu alikuwa mpuuzi? Nakumbuka N95 zilimtemesha kibarua Mh. Ndugulile!
 
Unajua hata nini maana ya SpO2, haya nenda ka google ujifunze.
na pia uniambie kiwango cha hewa ya huyo mungu wako ina asilimia ngapi ya hewa zote tofauti.
Ukishajifunza ni nini?
Angalia hii video kuhusu uhusiano wa kuvaa barakoa na kiwango cha SpO2 kwenye mwili.
Anazivaa barakoa kadhaa ili kutengua utopolo na huyu ni Dr
Note: Angalia namba ya 99% wenye kifaa tiba, hii ndio SpO2,

Unajua mwili unapambana kiasi gani kuhakikisha SPO2 inakuwa 99?SPO2 inaweza kuwa 98 few minutes before death.
 
Sijawahi Kuvaa Barakoa na kamwe sitoivaa pia na najua kwa Upendo mkubwa alionao Mwenyezi Mungu Kwangu GENTAMYCINE hii Corona ( Covid-19 ) nitaisikia kwa wengine tu
Kumbe na wewe una mawazo ya hovyo kiasi hiki loooh! Acheni wanaotaka kuokoa nafsi zao waendelee kuvaa, kwani kinawauma nini au wanawapunguzia nini ninyi msiotaka kuvaa? Kwani ni lazima utujulishe kuwa huvai? Ili iweje? Uonekane shujaa au?
 
Ni upuuzi kwa Tanzania na dunia kujiaminisha na uvaaji wa barakoa ambazo kimsingi sio barakoa sahihi za kuzuia virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa wanasayansi barakoa inayoweza kumzuia kirusi wa corona ni barakoa ya aina ya N95 yaani yenye uwezo wa asilimia 95 kuzuia maambikizi.
hivyo barakoa zaidi ya N95 ni barakoa ya show off na pengine inakufanya uwe uncomfortable tu.

Inawezekana barakoa za kwaida zikasaidia hasa kwa wale wenye dalili za mafua na kikohozi ili wasirushe makohozi au droplets.

Kwa andiko hili napenda kuwasisitiza jamii, wataalamu, na wanasiasa kuwa tujihadhari tukiwa na uelewa wa kutosha na tuache show off.

Barakoa ivaliwe kwa mwenye dalili za mafua au kifua na pale ambapo unapoenda kwenye mkusanyiko ambao ndani yake kuna watu wanakohoa au mafua.

Uvaaji wa barakoa kwa muda mrefu unaweza kukuathiri kwa kukosa hewa safi ya Mungu na pengine chembechemmbe za nguo kukuingia na kujisikia vibaya.

Wito wangu kwa watanzania ni kuwa tuvae barakoa kwa kuzingatia tahadhari na viashiria vya maambukizi ya magonjwa ya njia ya hewa.

Kamwe tusiwe wapuuzi kuiga na kutekeleza ushauri wa kihuni. Kama kuna mwansayansi wa kupinga andiko langu ajitokeze.

Halafu tusikubali kudanganywa na wapuuzi wasioijua
View attachment 1832821

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
NIMEAMINI KWELI WEWE NI ''jingalao"
 
Sijui kwanini mtu akivaa barakoa naona kama ana ugonjwa wa akili?

Unakuta hata liaskofu limejibandika barakoa usoni! Ati anajikinga na corona!! Whaaatt!!!

Tulipofika, hata niliokuwa nawaona wana akili kumbe ni majuha tu!

Upumbavu wa kuvaa mabarakoa ni upumbavu unaonisisimua sana!

Kwa sasa, hayo mabarakoa yamekuwa kama fasheni ya kitapeli tu!

Mtu akitaka kupata kiki ya kisiasa au kusifiwa na mabeberu, basi anajitwika zigo la barakoa usoni!
Ila Magufuli alikuwa shetani kabisa.

Unakuta jitu liko tayari kumeza hata vumbi kwasababu eti likionekana lina barakoa, wataliona kama linamsaliti Magu.

Masks zimekuwepo kabla ya Corona na zitaendelea kuwepo baada ya Corona.
 
Bifu lenu na Magu halinihusu mimi.

Kama alikujaza mimba kisha akafa, basi pole.

Jaribu kuwaona ustawi wa jamii, au nenda ukapige yowe la uchungu kwenye kaburi lake. (na ujifunze kuacha kugawa uchi hovyo).

Kwa sasa nazungumzia mabarakoa!

Unavaaga mabarakoa wewe?

Ama wajawazito mmekatazwa kujitwika mabarakoa?
 
Siku ujinga ukikutoka we Nzi utaweza hata kutengeneza asali. Kuwa kiongozi wa dini ni tiketi ya kutochukua tahadhari kuhusu maisha yako. Hivi mazuzu kama wewe mnaoamini maneno ya marehemu kama msahafu bado mpo nchi hii? Shitukeni kumekucha!!
Usinifokee, baradhuli weye!

Hebu nisome upya, wacha kufoka hovyo kama shumileta.

Halafu habari za Magufuli zimeingiaje hapa? Unamuwaza ama?
 
Kumbe na wewe una mawazo ya hovyo kiasi hiki loooh! Acheni wanaotaka kuokoa nafsi zao waendelee kuvaa, kwani kinawauma nini au wanawapunguzia nini ninyi msiotaka kuvaa? Kwani ni lazima utujulishe kuwa huvai? Ili iweje? Uonekane shujaa au?
Wataokoaje maisha kwa kuvaa barakoa tu tena isivyo sahihi? watu wengi hajui au hawazingatii matumizi sahihi ya uvaaji wa barakoa na hiyo ina madhara yake sasa hapo utasemaje wanaokoa maisha?
 
Ila Magufuli alikuwa shetani kabisa.

Unakuta jitu liko tayari kumeza hata vumbi kwasababu eti likionekana lina barakoa, wataliona kama linamsaliti Magu.

Masks zimekuwepo kabla ya Corona na zitaendelea kuwepo baada ya Corona.
Uvaaji wa mask ilikuwa zinatumika hospitalini na mazingira mengine maalumu ila sio kwenye jamii kama ambavyo ilivyo sasa. Bongo watu wanavaa barakoa kifashion tu ndio maana utaona mtu leo kavaa kesho hajavaa mara kaishusha kaachia pua kaziba mdomo tu ndio maana hata sasa Magufuli hayupo ila bado watu ambao tulidhani hawavai barakoa kwa sababu ya Magufuli pia bado hawavai barakoa labda mpaka wakikutana na Rais.
 
s
Wataokoaje maisha kwa kuvaa barakoa tu tena isivyo sahihi? watu wengi hajui au hawazingatii matumizi sahihi ya uvaaji wa barakoa na hiyo ina madhara yake sasa hapo utasemaje wanaokoa maisha?
Suala hapa ni kushauri/kutoa maoni juu ya matumizi sahihi na si kubeza watu wanaovaa barakoa.
 
Waswahili bana .Kuna Waswahili wanalala na changu kila siku ila wamegoma kuvaa kondomu.Wanasema sababu kibao mara hainogi,mara kondomu ndo ina vidudu vya ukimwi na mara kondomu imetengenezwa na wazungu .
 
Back
Top Bottom