Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Ni hiviTahadhari zisipofuatwa matokeo yake hutokea madhara hata hilo umeshindwa kulijua kweli? sasa sijui unategemea matumizi yasio sahihi ya barakoa yatakukinga na corona?
Nime Google nyengine hii:
Face masks are not well tolerated by certain population groups (e.g. children) or by persons with chronic respiratory disease.
Watoto hawakuambiwa wavae barakoa, hata kwa mabeberu hakuna watoto wanao vaa barakoa..
Na kuna watu waliothibitisha kutoweza kuvaa barakoa kwa sababu ya mapungufu yao kiafya, hawa wamekubaliwa kutovaa..