Ni upuuzi kujiaminisha na barakoa feki

Lile tahira limewaambukiza ujinga!! , yaani roho zinawauma watu wakivaa barakoa
 
Andiko lako lina mantiki tatizo umeandika kwa jaziba kiasi kwamba umesahau kujenga hoja yako vizuri.
 
Siku ujinga ukikutoka we Nzi utaweza hata kutengeneza asali. Kuwa kiongozi wa dini ni tiketi ya kutochukua tahadhari kuhusu maisha yako. Hivi mazuzu kama wewe mnaoamini maneno ya marehemu kama msahafu bado mpo nchi hii? Shitukeni kumekucha!!
 
Hizi ni tahadhari kwa mvaaji wa barakoa azifuatilie..na si athari za kuvaa barakoa...
Nenda ka google ulete zingine tuzipangue...
Tahadhari zisipofuatwa matokeo yake hutokea madhara hata hilo umeshindwa kulijua kweli? sasa sijui unategemea matumizi yasio sahihi ya barakoa yatakukinga na corona?

Nime Google nyengine hii:

Face masks are not well tolerated by certain population groups (e.g. children) or by persons with chronic respiratory disease.
 
Kwa hiyo unatuaminisha kwamba Magu alikuwa mpuuzi? Nakumbuka N95 zilimtemesha kibarua Mh. Ndugulile!
 
Unajua mwili unapambana kiasi gani kuhakikisha SPO2 inakuwa 99?SPO2 inaweza kuwa 98 few minutes before death.
 
Sijawahi Kuvaa Barakoa na kamwe sitoivaa pia na najua kwa Upendo mkubwa alionao Mwenyezi Mungu Kwangu GENTAMYCINE hii Corona ( Covid-19 ) nitaisikia kwa wengine tu
Kumbe na wewe una mawazo ya hovyo kiasi hiki loooh! Acheni wanaotaka kuokoa nafsi zao waendelee kuvaa, kwani kinawauma nini au wanawapunguzia nini ninyi msiotaka kuvaa? Kwani ni lazima utujulishe kuwa huvai? Ili iweje? Uonekane shujaa au?
 
NIMEAMINI KWELI WEWE NI ''jingalao"
 
Napita hapa naona jamaa limevaa barakoa lipo peke yake ndani ya gari..
 
Ila Magufuli alikuwa shetani kabisa.

Unakuta jitu liko tayari kumeza hata vumbi kwasababu eti likionekana lina barakoa, wataliona kama linamsaliti Magu.

Masks zimekuwepo kabla ya Corona na zitaendelea kuwepo baada ya Corona.
 
Bifu lenu na Magu halinihusu mimi.

Kama alikujaza mimba kisha akafa, basi pole.

Jaribu kuwaona ustawi wa jamii, au nenda ukapige yowe la uchungu kwenye kaburi lake. (na ujifunze kuacha kugawa uchi hovyo).

Kwa sasa nazungumzia mabarakoa!

Unavaaga mabarakoa wewe?

Ama wajawazito mmekatazwa kujitwika mabarakoa?
 
Siku ujinga ukikutoka we Nzi utaweza hata kutengeneza asali. Kuwa kiongozi wa dini ni tiketi ya kutochukua tahadhari kuhusu maisha yako. Hivi mazuzu kama wewe mnaoamini maneno ya marehemu kama msahafu bado mpo nchi hii? Shitukeni kumekucha!!
Usinifokee, baradhuli weye!

Hebu nisome upya, wacha kufoka hovyo kama shumileta.

Halafu habari za Magufuli zimeingiaje hapa? Unamuwaza ama?
 
Kumbe na wewe una mawazo ya hovyo kiasi hiki loooh! Acheni wanaotaka kuokoa nafsi zao waendelee kuvaa, kwani kinawauma nini au wanawapunguzia nini ninyi msiotaka kuvaa? Kwani ni lazima utujulishe kuwa huvai? Ili iweje? Uonekane shujaa au?
Wataokoaje maisha kwa kuvaa barakoa tu tena isivyo sahihi? watu wengi hajui au hawazingatii matumizi sahihi ya uvaaji wa barakoa na hiyo ina madhara yake sasa hapo utasemaje wanaokoa maisha?
 
Ila Magufuli alikuwa shetani kabisa.

Unakuta jitu liko tayari kumeza hata vumbi kwasababu eti likionekana lina barakoa, wataliona kama linamsaliti Magu.

Masks zimekuwepo kabla ya Corona na zitaendelea kuwepo baada ya Corona.
Uvaaji wa mask ilikuwa zinatumika hospitalini na mazingira mengine maalumu ila sio kwenye jamii kama ambavyo ilivyo sasa. Bongo watu wanavaa barakoa kifashion tu ndio maana utaona mtu leo kavaa kesho hajavaa mara kaishusha kaachia pua kaziba mdomo tu ndio maana hata sasa Magufuli hayupo ila bado watu ambao tulidhani hawavai barakoa kwa sababu ya Magufuli pia bado hawavai barakoa labda mpaka wakikutana na Rais.
 
s
Wataokoaje maisha kwa kuvaa barakoa tu tena isivyo sahihi? watu wengi hajui au hawazingatii matumizi sahihi ya uvaaji wa barakoa na hiyo ina madhara yake sasa hapo utasemaje wanaokoa maisha?
Suala hapa ni kushauri/kutoa maoni juu ya matumizi sahihi na si kubeza watu wanaovaa barakoa.
 
Waswahili bana .Kuna Waswahili wanalala na changu kila siku ila wamegoma kuvaa kondomu.Wanasema sababu kibao mara hainogi,mara kondomu ndo ina vidudu vya ukimwi na mara kondomu imetengenezwa na wazungu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…