Ni upuuzi kujiaminisha na barakoa feki

Ni hivi
Watoto hawakuambiwa wavae barakoa, hata kwa mabeberu hakuna watoto wanao vaa barakoa..
Na kuna watu waliothibitisha kutoweza kuvaa barakoa kwa sababu ya mapungufu yao kiafya, hawa wamekubaliwa kutovaa..
 
Hapo nadhani nishaeleweka sasa tuje kwenye matumizi yasio sahihi ya uvaaji barakoa, maana hapo pasipo zingatiwa tutakuwa tunadanganyana na huo uvaaji wa barakoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…