OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Leo kidogo nitakuwa mkali
Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao.
Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya ofisini kwao. Wanaleta stori za madokezo sabili kwenye bar. Huo ni upuuzi. Code of Ethics zinakataza kabisa hiyo kitu. Lakini licha ya code of ethics kukata hata kwa akili zako za shule na kuzaliwa hazikuambii kama hapo sio mahala pake?
Ni kama hawa watu ni weupe vichwani kiasi kwamba mbali na issues za ofisi hana tena jipya jingine. Ongelea hata masuala ya uchumi basi, chambua basi hata mustaklabali wa elimu yetu. Huwakuti hata wanaongelea mlo kamili kujenga afya zao. Au kuchambua katiba mpya. Stori zao ni umbea na madokezo. Sijui DED hivi DC vile. Hasa watumishi wa Halmashauri ni kero.
My Take
Serikali kumbusheni watumishi wenu code of ethics