Maana naona siku hizi watu tunahimizwa ktk media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote ktk maisha zaaidi ya upu.uzi mtupu....
Kama vp nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain...
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa.
Na tupinge mashindano ya kipu. Uzi kama haya nchini kwetu.
Idris ndio nani?Maana naona siku hizi watu tunahimizwa ktk media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote ktk maisha zaaidi ya upu.uzi mtupu....
Kama vp nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain...
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa.
Na tupinge mashindano ya kipu. Uzi kama haya nchini kwetu.
Naam, ni upuuzi usio na mfano. Kati ya civilization za mwanzo kabisa kwa binaadam ni pamoja na kujuwa kujistiri tupu zake na kuvaa nguo, leo tukapigie kura wavuwa nguo na watembea utupu kwa makusudi kabisa wakijianika bila kujali chochote.
Eti maendeleo! Khaa! kama si ujinga huo ni nini?
serikali imeshasema haina baraka zao just democracy we have, pia JK mtu mpole sana lakini ingekuwa enzi za Ben hata bendera ya taifa wangeenda na picha tu tena mnaipiga kwa siri mbele ya ofisi ya mtaa
sifanyi huo upuuzi hata siku moja!
Sasa wanaotembea utupu na wanaoona raha na kuwashabikia watembea utupu kama si wachawi ni nani?
Naomba nikusaidie kuwashangaa wanaadamu wa nyakati hizi.......Kwa nini mtu mwenye akili timamu;ushangilie na kupigia kura vitendo vichafu vya kulaaniwa katika zoo la binadamu ......?
Democracy.......Nimeshapiga kura 100 WeChat,kwenye we site kila baada ya lisaa, simu do nimeshindwa. BIG UP Idris.......