Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Kuna watu wanatoa mihela kibao kuwadhamini wenzao kukaa uchi, na kwa kuwa wakaa uchi wapo kibao sasa pamezalika kundi la wakodoa mimacho kwenye tupu za wenzao, tena ukiwaona wakati wakiwa kwenye hizo harakati hiyo mijitu inakuwa mishamba utadhani wao hawana au wameumbwa bila ya tupu, kumbe vile wanazo na hawashughuliki kuzikodolea mimacho, ila za wenzao ndio mmhh bize.

Sasa cha kushangaza ni wale wanaokodolewa mimacho hali ya kuwa wanajua fika, ila sijui ni hulka au umaskini ama ni tamaa tu, yaani unalikuta jitu likaa utupuuu huku linakenua meno.

Ujinga usio na mfano.
 
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa ktk media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote ktk maisha zaaidi ya upu.uzi mtupu....
Kama vp nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain...
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa.
Na tupinge mashindano ya kipu. Uzi kama haya nchini kwetu.

Mkuu watu wa leo ni wajnga kweli yan media kazi yao kuhamasisha ujinga
 
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa ktk media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote ktk maisha zaaidi ya upu.uzi mtupu....
Kama vp nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain...
Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa.
Na tupinge mashindano ya kipu. Uzi kama haya nchini kwetu.
Idris ndio nani?


Umeandika kama unakimbizwa
 
Naam, ni upuuzi usio na mfano. Kati ya civilization za mwanzo kabisa kwa binaadam ni pamoja na kujuwa kujistiri tupu zake na kuvaa nguo, leo tukapigie kura wavuwa nguo na watembea utupu kwa makusudi kabisa wakijianika bila kujali chochote.

Eti maendeleo! Khaa! kama si ujinga huo ni nini?


Sometimes una hoja madame,kwa hili chukua like yangu
 
Wapumbavu pekee ndio wanaoshabikia huu ufirauni.......
 
Nilionaga video clip ya BBA mjamaa kampelekea Mdada sabuni bafuni Dada yupo uchi mjamaa ana boxa tu mdada baada ya kumuona mkaka akaanza kujibinua binua ,Jamaa boxa ilivimba na zigo akung'ata

Nikaona ufuska tu na wanaopga kula mabwabwa
 
Mtu mwenye akili timamu na fikra zilizonyooka....hawezi hata siku moja akapigia kura mambo ya kipuuzi.............na hata hao wanaopiga kura hawajui wanachikifanya zaidi ya kuijionyesha kuwa waonekane kuwa wanakwenda na wakati.......
 
serikali imeshasema haina baraka zao just democracy we have, pia JK mtu mpole sana lakini ingekuwa enzi za Ben hata bendera ya taifa wangeenda na picha tu tena mnaipiga kwa siri mbele ya ofisi ya mtaa

ndo mkome muwe mnachagua mgombea sahihi sio mnaangalia sura
 
Sasa wanaotembea utupu na wanaoona raha na kuwashabikia watembea utupu kama si wachawi ni nani?

Mkuu usipoteze muda wako wa thamani kubishana nao....wenzio wanajitia upofu ingali wanaona.....wanafumba macho ili wasiuone ukweli.....lakini amini maneno yangu....wakati ukifika watatambua ujinga wao..........kati ya hao wanaopiga kura na kushabikia huu upuuzi hakuna hata mmoja aliye tayari kushuhudia nduguye au mwanawe akifanya ngono hadharani huku dunia ikimtazama na akampigia kura........wamesimama katika unafiki...........
 
Unakuta mzee mzima na mvi zake na upara wake ambao waswahili tunaamini ni kisima cha busara eti amekaa mbele kabisa anamshangilia binti anayelingana na mwanaye anayepita mbele yake akiwa amevaa chupi tu na sidiria......alafu kesho yake anapanua domo na kulalamika kuwa maadili yanaporomoka.............
 
Mimi nadhani ifike hatua tukubali kwamba katika jamii ya binadamu kuna werevu na wajinga pia, wote huvuta hewa moja.

Sasa hawa wajinga siku zote hawana uwezo wa ku-assess vitu wafanyavyo either morally or ethically.

Binafsi nakubaliana na mleta mada, huu ni upuuzi na ujinga, na kwa sababu katika jamii zetu tuna wapuuzi na wajinga, basi hawatokosekana wenye kufanya upuuzi na wenye kuutetea upuuzi.

HUWEZI SHINDANA KWA HOJA NA MPUUZI HATA SIKU MOJA.
 
aliyemsafi awe wa kwanza kurusha mawe...
mnajifanya mnawaponda kutwaaa kutetea mafisadi na madhulumati
mi siangalii na wala sio mshabiki ila humu kuna watu wanafiki
 
Back
Top Bottom