NGUVUMOJA
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,347
- 328
Kuna watu wanatoa mihela kibao kuwadhamini wenzao kukaa uchi, na kwa kuwa wakaa uchi wapo kibao sasa pamezalika kundi la wakodoa mimacho kwenye tupu za wenzao, tena ukiwaona wakati wakiwa kwenye hizo harakati hiyo mijitu inakuwa mishamba utadhani wao hawana au wameumbwa bila ya tupu, kumbe vile wanazo na hawashughuliki kuzikodolea mimacho, ila za wenzao ndio mmhh bize.
Sasa cha kushangaza ni wale wanaokodolewa mimacho hali ya kuwa wanajua fika, ila sijui ni hulka au umaskini ama ni tamaa tu, yaani unalikuta jitu likaa utupuuu huku linakenua meno.
Ujinga usio na mfano.