Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Nawe niku-bribe jamani?? sa nitaku-bribe nini? utakuwa unam-bribe kaka yako as ndo mwenye vyote nilivyo navyo.....kesi ya nini kaka yangu TF???:coffee:
Kwanza how are things going between you and my brother
 
Walikutuza mtoto wa watu,mambo yale hukuzoea...naomba niishie hapo???? vipi uliweza weka vidole juu???kama nakuona walahiii!!!
Nilikuwa nashangaa tu laiti ungeniona ungejua tu huyu sio viwanja vyake either amekuja kwa kulazimishwa kuna vituko kule acha tu nafikiri unavifahamu nikianza kuvizungumzia hapa ni soo
 
Kwanza how are things going between you and my brother

Vere vere well,kikao kimeenda vizuri,tumefikia sehemu ya kugawana mali....ndo tukirudi after break tunapanga nani achukue kipi!!!!:coffee:
 
Nilikuwa nashangaa tu laiti ungeniona ungejua tu huyu sio viwanja vyake either amekuja kwa kulazimishwa kuna vituko kule acha tu nafikiri unavifahamu nikianza kuvizungumzia hapa ni soo

Taarab mi penda na huenda,na waga nafurahia sana....vituko vipo vingi sana ila kusema ukweli yahitaji ujilipue kidogo ndo uende..ukienda na fahamu na reasoning yako....utashangaa sana na hata kuzimia....kuona jinsia yako waki........duh,waweza ua mtu....na ulivyo mzuri....mh
 
Vere vere well,kikao kimeenda vizuri,tumefikia sehemu ya kugawana mali....ndo tukirudi after break tunapanga nani achukue kipi!!!!:coffee:
:scared::scared::scared::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::faint::faint::hail::hail::hail:😛ray2:😛ray2:😛ray2:
 
Acha tu mimi huwa sio viwanja vyangu kabisa hivyo siku nilichoka hata saa nzima sikumaliza nilitoka ndukii
 
Teh teh! Mkuu naona umegusa wadau kwa kiac kikubwa sana. Ni suala la kuvumiliana pande zote. Sisi ni binadamu na hatujakamilika. Kwenye mapungufu tusameheane,kwenye furaha tupongezane na kupeana moyo. Hivyo ndivyo maisha yanavyoenda.
 
:scared::scared::scared::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::faint::faint::hail::hail::hail:😛ray2:😛ray2:😛ray2:

ndo maisha wangu....roho inauma lakini inabidi.....:laugh::laugh:
 
The Finest .........Hongera sana this is the Post that opens year 2011..............I salute

In addition to what you have said, inategemea na situations but know that UVUMILIVU wa kila kitu una ukomo and that some people ni masadist ambao hupenda kuumiza wenzi wao na kuwaona wanavyowanyenyekea kiuoga.so kwa mtu kama huyo it will take ages to see the fruits of your Uvumilivu.

Cha msingi know your limits......unavumilia mpaka wapi. Uspokuwa na limits ina maana mwezio kama ni sadist atatake advantage. Mjuishe your limits kuwa kuna vitu na vitu unavyoweza kuvumilia but certainly some things you cant..............am just thinking wakati wa UBoyfriend na Girlfriend Boyfriend au Girlfriend anakuwa anakuwasha vibao kila mkikorofishana nawe unavumilia ina maana hata mkioana then atachukulia kuwa ile ni kawaida.......you have to show him/her your limits ambazo you cant tolerate...........

But all in all you are very RIGHT
 
Mjukuu nashukuru kwa ushauri wako uliojaa hekima na busara nyingi ni kweli uvumilivu una kikomo chake kuna vitu havivumiliki kabisa
 

mmmmhhhh....
Hivi hao watu waliumbwa hivo au ni kutokana na malezi?????
Do you think kwa kuwa ni ma sadists basi wanakusudia kuwaumiza wapenzi wao?????
 
Mimi kabla sijawa na mpenzi (for a veeeeery looong tym, maana sikutaka hii mikikimikiki) nilikua very up to the point, straight forward, no uvumilivu, "you pay for your actions"...mmmhhh kumbe nilikua sijapenda bwana.

Nimekuwa na huyu mpenzi mmoja kwakweli wakati naingia kwenye mapenzi nilisema I need a man, if God wishes let this one b the only man in my life, so sikuwa na lengo la "nakuja leo, ukinizingua kidogo tu naondoka kesho", hii imenisaidia sana, sometimes tunagombana mpaka natetemeka, nasema kesho nikiamka AM SO DONE WITH THIS CRAP, ila nikimpigia, au tukikutana, tukianza kuongea na kujadili we always, always reach to a suluhisho, hii ni kwa sababu wote wawili tuna lengo moja, just as The Finest said, we fight for what we have, lakini hio haimaanishi kwamba hatugombani...sasa utakuta mmoja yuko willing kuvuka milima na mabonde, ila mwenzie daaaah anajiona kama dhahabu, yani yeye ana mentality ya "sema su, am gone" that can never work.

COMMUNICATION Na kumuelewa mtu is the key, ni lazima mjuane, sio wananaume/wanawake wote wanaability za ku communicate, jee can you see beyond his/her communication? maana mi wakwangu ni mkimya au mzito kiasi flani kuongea, thats not an excuse but its a fact, kama nampenda siwezi siwezi kumsulubisha kwa sababu ya alivoumbwa, I have to take that into consideration, ila sasa na yeye upande wake ananielewa kuwa mi mpenziwe ni maneno mengi, so he sees past that................. it takes two to tangle......
 
Kufanya kosa bila kukusudia sio tatizo shida ni pale kosa linapojirudia rudia!!hapo ndipo mwenzio anapopata impresion kuwa hujali feelings zake, how come every now and then u do the same shit and u run to seek for an apology? kwenye mapenzi unapoomba msamaha mwenzio anaamini umetambua kosa ulilofanya, unajutia na unaadhimia kutorudia tena ili kudumisha mapenzi yenu.Inapotekea tena in no time the same shit happens ni ngumu kwa miasha ya kibinadamu mtu kuelewa eti hilo kosa halikukusudiwa!Ni rahisi kwa mwenza kufikiria ur taking advantage of her/his feeling na akaamua kugive-up
 
The finest this is vere vere useful post of the year 2011 dah! Yaani mi nilikua nashangaaga 2 m2 anaonekana anakupenda lakini ana mauzi ucpime. Thanks dearest 2tajitahid kuvumilia na pia 2kichukua na ushauri wa MJ1 hapo juu kwamba uvumilivu una kipimo
 

very well said mjukuu mtiifu. Nimeipenda hii
 
mmmmhhhh....
Hivi hao watu waliumbwa hivo au ni kutokana na malezi?????
Do you think kwa kuwa ni ma sadists basi wanakusudia kuwaumiza wapenzi wao?????
Leney....frankly speaking I dont know if ni malezi au wamezaliwa hivyo........and mind you sadist people si lazima waexpress usadist wao katika mapenzi tu kuna wengine huwa wana hiyo passion yaani akiamua kutokupenda kukuona wewe unafaidi au unafurahia maisha basi kama anayo nafasi atamake sure unasuffer.....whether kimapenzi au lah.........They just love to see other people suffers.

By the way...........Jamani mie mwoga huku maeneo ya Mlimani City nimesikia vitu kama Fataki (Au bunduki!!) Naomba kujua leo Mlimani City kuna sherehe yeyote???
 

zimwi likujuawalo halikuli likakwisha!!!
 

mmmhhh huwezi amini mi nilivosoma sadist, basi nikaweka maana yangu tofauti...yaani kama mtu mnyonge flani anaehitaji msaada, basi ulivoreply hii post nikaenda kuangalia the true meaning of a sadist...

Someone who obtains pleasure from inflicting pain on others

ur right my d, kama ndo maana yake mi hata hawa sikubaliani nao kabisa.... na hawa watu kuwajua ni rahisi sana.... they cant handle things not going their way........

About milmani city sina taarifa bado ngoja tusubiri wadau watujuze.....
 


Mi hata sielewagi hapo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…